Vita ya urais CHADEMA: Dr. Slaa, Zitto na Mbowe hapatoshi!

Tatzo mnataka kusifiwa kila siku!! Magamba yameona hilo na yenyewe yaacheni yawaumbue km muyafanyavyo yenyewe.
 
Principally, magazeti kama haya ndo yanatakiwa kufungiwa kutokana kueneza uchochezi, chuki na fitina katika jamii. Sasa kusudi la gazeti hili dhidi ya Mnyika na Zitto ni nini? Je, habari za kwamba wachaga wanataka kumuweka Mbowe ili warudishe hela yao inamaanisha nini? Na kwanini Slaa na Mbowe waonekane kuwa na Kasoro huku Zitto peke yake akionekana msafi. Napata wasi wasi kwamba hizi pia zaweza kuwa ni propaganda ama za Zitto mwenyewe au washirika wa Zitto.
 
KUNDI LA PILI NI LA DR, SLAA ambaye licha ya kutokea kaskazini amekuwa haungwi mkono kabisa ndani ya chama na hata kwa wakaskazini wenzake.

Licha ya mchango wa slaa kuwa mkubwa kutokana na kushika nafasi ya pili kwenye uchaguzi mkuu uliomalizika mwaka 2010, Slaa anaonekana kuwa si chochote ndani ya chama na anaungwa mkono na kanisa la katoliki ambalo amewahi kulitumikia akiwa kama padri kabla hajaasi.

Kama Slaa Dr haungwi mkono hawezi kuwa na kundi. Gazeti na mleta mada hamna issue ni wachonganishi tu,
 
Cha mwisho, ni namna mwanzisha thread alivyoweza kupata soft copy ya gazeti ambalo haliko mtandaoni, kwa maana ya kwamba hawana website. Niliangalia kile kinachoonekana kuwa blog yao, posts za mwisho ni mwezi Februari mwaka huu. Sasa mwanzisha mada kawezaje kupata soft copy mapema namna hiyo, anajua yeye. Natumaini GT hapa JF wataunganisha dots na kuelewa ninachosema katikati ya maneno. Ukielewa msaidie na mwenzako kuelewa. Kazi njema mleta mada.
Mkuu TM, niliposoma tuu, swali la kwanza nilijiuliza "the motive behind" hiyo story, nikakuta "the motive" is ZZK elevetion by elimination ya Mbowe na Dr. Slaa, na kwa vile mbowe sio highly probable, then ili kummaliza Dr, jamaa ameweka character assasination the same way mwanzisha thread aliwahi kuzileta humu!.

Hivyo source ya hiyo story ni mwanzisha thread, tena kama ni mwandishi, anaweza kuwa ni yeye ndie ali file hiyo story ndio maana akabaki na soft!.

Niliwahi kuwaeleza CDM, mnafuga nyoka wenye sumu kali, dawa ya nyoka hawa ni kuwa ponda kuanzia kjichwani...vinginevyo...!.

P.
 
hakuna kupya hapo looser TUTEMENKE. Kuna msemo wa kiswahili ukiwa muongo usiwe msaulifu. Hapa nikiunganisha dots napata jibu la kwamba wewe TUTEMENKE ndo umeipeleka hiyo habari kwa kuunganisha michango yako humu ndani. Hakuna kipya ambacho hujawahi post humu ndani, jaribu kupitia michango yako yote utaelewa Invisible anamaanisha nini. BEHAVE MKUU NA UJIFUNZE KUKUBALI KUSHINDWA.
 
to be honest hilo gazeti sijawahi kuliona, pamoja na kuwa nipo dsm, magamba @ work, halina tofauti na uhuru na mzalendo ambayo nnasikia huuzwa kwa mkopo.
 
- hapo anayefaaa ni zitto tu wengine wote wamepitwa na wakati, wote wamegombea na kushindwa, enufff!!

Le mutuz!!
Unajidhalilisha tu Le mutuzi. sikutegemea kabisa kauli kama hii uitoe wewe. Kama kila anayegombea na kushindwa basi amepitwa na wakati, wewe umegombea mara ngapi unashindwa na bado unaendelea kugombea na kwingine na kwingine? Kingángánizi wa madaraka kama wewe hukupaswa kabisa kusema haya.

Na zaidi ya yote, ukisema Mbowe na Slaa wamepitwa na wakati, unataka kusema kwa CCM; Mangula, Kinana, Zhakia Meghij na Migiro ndiyo wa kisasa? Ndiyo yale yale akijisaidia kuku sawa, lakini bata akijisaidia hivyohivyo mnasema ameharisha! Acheni ujinga nyie CCM na uroho wenu wa madaraka unaowapelekea mueneze udini na ukabila ilimradi tu muendelee kutawala bila kujua kwamba mnaiweka amani ya nchi rehani.
 
ccm inasubiri nguvu za kofia na kanga 2015,hata kama mtatumia magazeti ya mafisadi ccm haitaachwa salama 2015, tunataka mabadiliko!

CCM haifi na haitakufa kamwe kwa kupitia maandishi ya JF. Ukweli wa nani hasa anakufa umeshaanza kujulikana na utathibitika pale 2015.
 
Mkuu TM, niliposoma tuu, swali la kwanza nilijiuliza "the motive behind" hiyo story, nikakuta "the motive" is ZZK elevetion by elimination ya Mbowe na Dr. Slaa, na kwa vile mbowe sio highly probable, then ili kummaliza Dr, jamaa ameweka character assasination the same way mwanzisha thread aliwahi kuzileta humu!.

Hivyo source ya hiyo story ni mwanzisha thread, tena kama ni mwandishi, anaweza kuwa ni yeye ndie ali file hiyo story ndio maana akabaki na soft!.

Niliwahi kuwaeleza CDM, mnafuga nyoka wenye sumu kali, dawa ya nyoka hawa ni kuwa ponda kuanzia kjichwani...vinginevyo...!.

P.
Nina uhakika kabisa kama CHADEMA wangemjua TUNTEMEKE ni nani lazima angeshakuwa alitupiwa mbali siku nyingi. Maana hata kingekuwa ni chama vumilivu kiasi gani hakiwezi kukaa na huyu nyoka ndani. Tuntemeke anatumia udini na ukabila kuwagawa wanachadema na watanzania kwa ujumla kwa maslahi yake binafsi?
 
Last edited by a moderator:
Walishapotea kwenye ramani ya kisiasa kitambo baada ya kuishiwa hoja, maana kila hoja waliyokuwa wanaipigia kelele haifanikiwi, mfano mafisadi na mpaka leo hakuna aliyefungwa. Kwa ufupi Chadema inasubiri kizikwa rasmi 2015.

We Kichwa mpasuko una akili sawasawa? alieshindwa kuwa wajibisha ni nani?,vilaza mnashida na kutumikishwa na magamba! ma bwana zako CHAMA CHA MAGAMBA ndo walioshindwa,kusoma hujui hata picha huoni? Barnaba ndocha kweli*
 
Unajidhalilisha tu Le mutuzi. sikutegemea kabisa kauli kama hii uitoe wewe. Kama kila anayegombea na kushindwa basi amepitwa na wakati, wewe umegombea mara ngapi unashindwa na bado unaendelea kugombea na kwingine na kwingine? Kingángánizi wa madaraka kama wewe hukupaswa kabisa kusema haya.

Na zaidi ya yote, ukisema Mbowe na Slaa wamepitwa na wakati, unataka kusema kwa CCM; Mangula, Kinana, Zhakia Meghij na Migiro ndiyo wa kisasa? Ndiyo yale yale akijisaidia kuku sawa, lakini bata akijisaidia hivyohivyo mnasema ameharisha! Acheni ujinga nyie CCM na uroho wenu wa madaraka unaowapelekea mueneze udini na ukabila ilimradi tu muendelee kutawala bila kujua kwamba mnaiweka amani ya nchi rehani.

- Sijaona hoja zaidi ya mtumzima kulia lia kama mtoto mdogo, nimesema Mbowe na Slaa wameshagombea Urais wameshindwa, mimi sijagombea Urais mmezoea sana kurusha matusi bila kujibiwa sasa mchezo umekwisha mtajibiwa tu!

- Narudia tena waliogombea Urais wakashindwa huko Chadema hawana jipya, na hasa huyu Slaaa aliyeshindwa Udiwani majuzi hana jipya aachie damu mpya kina Zitto!!

so now talk to me!

Le Mutuz!!
 
mkuu mbona unapoteza mdaa, binafsi sijashangaa kwa ***** ulioandikwa na le matuc
 
By ungonella wa ukweli<br />
ccm inasubiri nguvu za kofia na kanga 2015,hata kama mtatumia magazeti ya mafisadi ccm haitaachwa salama 2015, tunataka mabadiliko!
<br />
<br />
CCM haifi na haitakufa kamwe kwa kupitia maandishi ya JF. Ukweli wa nani hasa anakufa umeshaanza kujulikana na utathibitika pale 2015.
ukweli umeanza kujulikania wapi mkuu au nyumbani kwa wajumbe wa NEC (jakaya,salma&riz) a.k.a chama cha familia
 
Nina uhakika kabisa kama CHADEMA wangemjua TUNTEMEKE ni nani lazima angeshakuwa alitupiwa mbali siku nyingi. Maana hata kingekuwa ni chama vumilivu kiasi gani hakiwezi kukaa na huyu nyoka ndani. Tuntemeke anatumia udini na ukabila kuwagawa wanachadema na watanzania kwa ujumla kwa maslahi yake binafsi?
Chadema ina vijana waliobobea kwenye IT yani wanashindwa kumjuwa TUNTEMEKE ni nani? kama upo karibu na Uongozi waambie wanitangazie dau niwauzie kichwa. This is a deal.

- Sijaona hoja zaidi ya mtumzima kulia lia kama mtoto mdogo, nimesema Mbowe na Slaa wameshagombea Urais wameshindwa, mimi sijagombea Urais mmezoea sana kurusha matusi bila kujibiwa sasa mchezo umekwisha mtajibiwa tu!

- Narudia tena waliogombea Urais wakashindwa huko Chadema hawana jipya, na hasa huyu Slaaa aliyeshindwa Udiwani majuzi hana jipya aachie damu mpya kina Zitto!!

so now talk to me!

Le Mutuz!!
51 years old Man, Tanzania hatuna Clinic za kutibu watu wenye stress za maisha, at this age unakaa kwa Baba ni lazima akili yako iwe na matatizo, tafuta watu wa conseling watakusaidia.

Wewe kwa umri wako humu wengine ni wanao, lakini kwa sababu huna maadili na umezowea kukaa na makahaba wenye umri mdogo basi hujui kama unastahili kujiheshimu ili uheshimiwa.

Inachekesha tena sana kumsikia msukule wa CCM eti inawachagulia Chadema mgombea, hivi hayo mapenzi na Chadema mmeanza lini? Mimi ndio ningekuwa Zitto ningekuwa nawapinga wazi wazi maana hamumsaidii bali ndio mnamuangamiza kisiasa.
 
- Sijaona hoja zaidi ya mtumzima kulia lia kama mtoto mdogo, nimesema Mbowe na Slaa wameshagombea Urais wameshindwa, mimi sijagombea Urais mmezoea sana kurusha matusi bila kujibiwa sasa mchezo umekwisha mtajibiwa tu!

- Narudia tena waliogombea Urais wakashindwa huko Chadema hawana jipya, na hasa huyu Slaaa aliyeshindwa Udiwani majuzi hana jipya aachie damu mpya kina Zitto!!

so now talk to me!

Le Mutuz!!

upeo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo???
ivi ni kweli kwamba ukigombea mara moja ukashindwa usigombee tena? eti huyu aliyeandika ni msomi!!!! napata shaka..
 
Back
Top Bottom