Vita ya urais CHADEMA: Dr. Slaa, Zitto na Mbowe hapatoshi!

Tanzania bado tuna kazi nzito kidemokrasia, vyombo vya mafisadi vya habari kazi yake ni kugonganisha maneno au habari kwa upinzani! Ccm hata kama watawagawa watanzania kwa ukanda,udini na ukabila ili waendelee kuwatawala, Sisi WATU WA KUSINI HATUTAKUBALI KUENDELEA KUTUMIWA NA CCM, ili kuwapa njia ya kufaidi kifisadi raslimali za taifa letu.

Hapa hakuna cha ukaskazini wala magharibi adui wa watanzania ni ccm! Ccm isubiri 2015, watu wa KUSINI TUNATAKA TUONYESHE MFANO KWA KUIADHIBU CCM kwenye majimbo hadi urais! Ccm ni janga kwa taifa letu!
 
TUNTEMEKE= yule aliyegombea ubunge mbeya- mbozi mahsariki kupitia CDM 2010 na akauza jimbo kwa CCM, pia alijaribu uenyekiti uchaguzi wa BAVICHA akaambulia patupu.
 
Nilipoisoma stori hii asubuhi leo mapema wakati wa news analysis, niliongeza maarifa na taarifa namna ambavyo magamba na washirika wao wanaumizwa vichwa kweli na uimara wa viongozi waandamizi wa CHADEMA, hivyo wameamua kuwa na tabia halisi za fisi...kuvizia mkono wa binadamu anayetembea kwa matumaini kuwa kwa namna unavyokwenda mbele na nyuma, huenda ukachomoka.

Lakini pia nikaongeza maarifa na taarifa namna ambavyo CCM inania ya kuitumbukiza nchi katika bahari ya machafuko kwa kuendelea kupalilia udini, ukanda na ukabila. Vitu hivi vitatu ukiongeza na matumizi ya dola, kutesa, kuteka, kushambulia wapinzani na kuua, ndiyo pekee vimebaki kuwa mhimili wa CCM, ndiyo maana inashangaza kusoma watu wanawaogopa akina Kinana, wakati CCM haitegemei tena watu hao kwa maana ya uwezo wao, bali wanatumia kujua kwao, kupanda mbegu za ukabila, udini na ukanda.

Lakini pia nikaongeza maarifa na taarifa kuhusu fikra za magamba na washirika wao juu ya CHADEMA. Kwa ujumla ni stori nzuri kusomwa na mtu anayejua, kwa maana aliyeitengeneza chumbani usiku kisha asubuhi akaipeleka kiwandani kuchapwa, no even a little bit proof-reading, pia ni nzuri kwa watu wengine tunaojua mchezo mzima wa magamba na washirika wao...wasomaji si wajinga. Wanajua mlivyopoteza uhalali ndiyo maana mnashabikia udini, ukabila, ukanda na matumizi ya dola kutesa, kuteka, kushambulia na kuua.

Pia nimeongeza maarifa na taarifa namna ambavyo ni kazi ngumu kwelikweli kuufanya uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo. Jitahidini basi kutafuta waandishi wanaoweza kufanya armchair thinking nzuri...tehe tehe tehe.

Cha mwisho, ni namna mwanzisha thread alivyoweza kupata soft copy ya gazeti ambalo haliko mtandaoni, kwa maana ya kwamba hawana website. Niliangalia kile kinachoonekana kuwa blog yao, posts za mwisho ni mwezi Februari mwaka huu. Sasa mwanzisha mada kawezaje kupata soft copy mapema namna hiyo, anajua yeye. Natumaini GT hapa JF wataunganisha dots na kuelewa ninachosema katikati ya maneno. Ukielewa msaidie na mwenzako kuelewa. Kazi njema mleta mada.
 
ama kweli tutayasikia mengi sana hadi uchaguzi upite.

Tunayo kazi kubwa ya kufuta umasikini wa fikra. Inakuwaje mtu anazungumzia vita ya urais wakati ambapo si Dr. Slaa wala Mh. Mbowe aliyewahi kuzungumzia urais kwa namna yoyote wala kuonyesha nia??. Naona Prince Bagenda wa gazeti la TAZAMA [la propaganda] ana mawakala wake humu.
 
Makene mi siku zote nakwambia kwamba hata wewe mwenyewe umeshafirisika na hasa baada ya kuchagua kuiacha fani yako na kujiingiza kwenye haya mambo moja kwa moja,ni tatizo na aibu kubwa mtu Professional kama wewe kuingia mzimamzima kwenye mambo haya unaona sasa matatizo yake,vipi Karagwe hali inaendeleaje?!!!!
 
Nilipoisoma stori hii asubuhi leo mapema wakati wa news analysis, niliongeza maarifa na taarifa namna ambavyo magamba na washirika wao wanaumizwa vichwa kweli na uimara wa viongozi waandamizi wa CHADEMA, hivyo wameamua kuwa na tabia halisi za fisi...kuvizia mkono wa binadamu anayetembea kwa matumaini kuwa kwa namna unavyokwenda mbele na nyuma, huenda ukachomoka.

Lakini pia nikaongeza maarifa na taarifa namna ambavyo CCM inania ya kuitumbukiza nchi katika bahari ya machafuko kwa kuendelea kupalilia udini, ukanda na ukabila. Vitu hivi vitatu ukiongeza na matumizi ya dola, kutesa, kuteka, kushambulia wapinzani na kuua, ndiyo pekee vimebaki kuwa mhimili wa CCM, ndiyo maana inashangaza kusoma watu wanawaogopa akina Kinana, wakati CCM haitegemei tena watu hao kwa maana ya uwezo wao, bali wanatumia kujua kwao, kupanda mbegu za ukabila, udini na ukanda.

Lakini pia nikaongeza maarifa na taarifa kuhusu fikra za magamba na washirika wao juu ya CHADEMA. Kwa ujumla ni stori nzuri kusomwa na mtu anayejua, kwa maana aliyeitengeneza chumbani usiku kisha asubuhi akaipeleka kiwandani kuchapwa, no even a little bit proof-reading, pia ni nzuri kwa watu wengine tunaojua mchezo mzima wa magamba na washirika wao...wasomaji si wajinga.

Pia nimeongeza maarifa na taarifa namna ambavyo ni kazi ngumu kwelikweli kuufanya uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo.

mkuuu tatizo sio CCM koz huyo ni adui lakini hebu nisome post yangu juu ndio ujue kuwa huyo ni nyoka ndani ya CDM.
 
Una uhakika kwamba Mbowe hajazungumzia suala la Urais,Dr.Slaa hajalizungumza hilo,na Hata Zitto pia mkuu????nahisi utakuwa uko usingizini wewe na unaota!!!!!!
 
Nilipoisoma stori hii asubuhi leo mapema wakati wa news analysis, niliongeza maarifa na taarifa namna ambavyo magamba na washirika wao wanaumizwa vichwa kweli na uimara wa viongozi waandamizi wa CHADEMA, hivyo wameamua kuwa na tabia halisi za fisi...kuvizia mkono wa binadamu anayetembea kwa matumaini kuwa kwa namna unavyokwenda mbele na nyuma, huenda ukachomoka.

Lakini pia nikaongeza maarifa na taarifa namna ambavyo CCM inania ya kuitumbukiza nchi katika bahari ya machafuko kwa kuendelea kupalilia udini, ukanda na ukabila. Vitu hivi vitatu ukiongeza na matumizi ya dola, kutesa, kuteka, kushambulia wapinzani na kuua, ndiyo pekee vimebaki kuwa mhimili wa CCM, ndiyo maana inashangaza kusoma watu wanawaogopa akina Kinana, wakati CCM haitegemei tena watu hao kwa maana ya uwezo wao, bali wanatumia kujua kwao, kupanda mbegu za ukabila, udini na ukanda.

Lakini pia nikaongeza maarifa na taarifa kuhusu fikra za magamba na washirika wao juu ya CHADEMA. Kwa ujumla ni stori nzuri kusomwa na mtu anayejua, kwa maana aliyeitengeneza chumbani usiku kisha asubuhi akaipeleka kiwandani kuchapwa, no even a little bit proof-reading, pia ni nzuri kwa watu wengine tunaojua mchezo mzima wa magamba na washirika wao...wasomaji si wajinga.

Pia nimeongeza maarifa na taarifa namna ambavyo ni kazi ngumu kwelikweli kuufanya uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo.
TUMAINI MAKENE,

Wewe unaujua ukweli tena wa ndani kabisa juu ya haya makundi

Wewe ni mwandishi wa CHADEMA na mfuasi wa Mbowe mkubwa kwenye ile KUB YA MBOWE huwahukosi kwenye misafala yote na unajua ni mambo gani huwa mnapanga na mbowe.

Naomba nikwambie si kila jambo kukimbilia kuwahusisha CCM na jamaa zao,katika hili ukweli upo hakuna haja ya kukimbila polisi(CCM) kulificha hili sakata.

Tumaini makene yawezekana unatamani sana kuona CHADEMA haisemwi na haichunguzwi kama CCM lakini hunaujanja huo wa kuzuia maovu ndani ya chama yasisemwe.

Mbona minyukano kati ya Mbowe,slaa na zitto inaonekana live.Mbowe na slaa wapokimya mambo mangapi yanayomhusu zitto?
Slaa alikimbilia kutaka kutoa tamko la kushutumu Zitto kwenye kiako cha sekretarieti kuhusishwa na rushwa bila hata kusikia matokeo ya kamati teule ya bunge.(hizi sio dalili za mambo kuaranganyuka ndani ya chadema)

MAKENE,jaribu kuwa mkweli sio kukimbilia kuwa na weak argument kiasi hiki
 
Makene mi siku zote nakwambia kwamba hata wewe mwenyewe umeshafirisika na hasa baada ya kuchagua kuiacha fani yako na kujiingiza kwenye haya mambo moja kwa moja,ni tatizo na aibu kubwa mtu Professional kama wewe kuingia mzimamzima kwenye mambo haya unaona sasa matatizo yake,vipi Karagwe hali inaendeleaje?!!!!
mkuu ina maana kwenye siasa watu wenye professional hawatakiwi?
 
mkuuu tatizo sio CCM koz huyo ni adui lakini hebu nisome post yangu juu ndio ujue kuwa huyo ni nyoka ndani ya CDM.

Nisome vyema kaka, nimeandika CCM na washirika wao...wanaweza kuwa mahali popote, newsroom, serikalini, anywhere mkuu. Ukielewa msaidie mwenzako kuelewa.
 
Wewe ndo Kengo kabisa, Hii nchi iko hapa kwa sababu ya Ufisadi, hata kama wewe ni mnufaila wa Huo ufisadi lakini ninaamni wapo Ndugu zako huko Vijijini wanafanya kunyang'anyana na Ng'ombe Maji

Tatizo lenu CDM uchafu ndani ya chama chenu mnaonyana kwa kunong'onezana watu wasijue,hiii isue ya matumizi mabovu ya pesa za chama iliofanywa na slaa muda sasa ila mnaifunikafunika,hapo slaa haachiwa nchi jiulizeni je akiwaachiwa nchi itakuaje kwa pesa za walipa kodi na w.a.k.e za watu watapona kweli?
 
Mkuu TUNTEMEKE; mwandishi wa habari hiyo unamfahamu? Alitoa source ya story yake kuwa ni JF? Manake naona hii story uliianzisha wewe hapa JF mwezi Agosti mwaka huu - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/304904-dk-slaa-lipa-deni-hili-la-chadema.html

Unataka kuumaliza mjadala huu mapema mno. Unataka kunikumbusha pambano la Mike Tyson na Bruce Seldom, dakika ngapi vile...unaua mbu kwa tofali mkuu.

Ndiyo maana nimeandika hapo juu, mwanzisha thread amewezaje kupata soft copy ya stori kwa gazeti ambalo haliko mtandaoni. Halina website. Kile kinachoonekana kudhaniwa kuwa ni blog yao, posts za mwisho au latest ni mwezi Februari mwaka 2012. Sasa ukishafikia hapo unaunganisha dots na hiyo link yako sasa inahitimisha kuvumbua mchezo mchafu mzima, unaozungushwa na wale wale.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom