Vita ya uchumi: Utoaji mikopo washuka kutokana 37% mpaka -6%

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,175
103,643
Taarifa za BOT zinaonyesha kushuka kwa kasi kwa utoaji wa mikopo binafsi kufikia -5.8% katika robo ya pili ya 2017 kutoka 36.7% katika kipindi kama hiki 2016.

Hii imesababishwa na benki za biashara kuweka masharti magumu katika utoaji mikopo kutokana na mashaka ya irejeshaji mikopo hiyo.

My Take
Uchumi wa kati na viwanda bila mikopo nafuu unawezekana? Wakulima je, viwanda vidogo na vya kati watapata wapi mitaji? Mabenki si yanakwenda kuangua. Mikopo ndiyo bidhaa muhimu sana katika biashara za mabenki

Habari Kamili
.................................................
Dar es Salaam. The provision of personal loans dropped to -5.8 per cent during the second quarter of 2017 from 36.7 per cent in a similar period in 2016, the Bank of Tanzania (BoT) data shows.

That happened because commercial banks imposed tough conditions on the provision of personal loans to avoid risks.
Bankers foresee a further shrinkage in personal loans, which account for 19 per cent of all loans.

That will be the case as lenders are becoming more uncertain about debt repayments.
“Banks have been more selective on lending to avoid risks at a time when companies are massively retrenching employees,” said Mr David Moshi, head of credit risks at Standard Chartered Bank Tanzania. He told The Citizen yesterday that defaulting for salaried employees has increased to 10 per cent and more, against the regulatory benchmark of 4.5 per cent. “Banks will conduct serious vetting to prospective personal borrowers with their companies and others have stopped issuing, which resulted in the reduction of personal loans portfolios,” he said.

Personal loans were considered as assets for many commercial banks, as helped to cushion financial gaps caused by the government decision to transfer its deposits from commercial banks to the central banks.
 
Mdogo mdogo wote tutaelewa mana tutaisoma namba !
 
Mkuu haya mambo kuna siku yakikugusa ndio utajua kinchozungumzwa, Itafika sehemu serikali itapunguza wafanyakazi hilo halikwepeki kabisa huko Private familia nyingi zimeyumba sana

Kwani hujui Mr kua wafanyakazi wanapunguzwa? Jina likikosewa ktk cheti, Leo wapo ktk waliosahau umri..
 
Uongo KAMWE haujawahi kumuacha muongo salama.

Pamoja na hayo Rais Magufuli amesitiza kwamba uchumi wa nchi unaendelea kukua, na kwamba wanaosema hivyo ni waongo na wazushi, na kuwataka watanzania wawapuuze.

Taarifa za BOT zinaonyesha kushuka kwa kasi kwa utoaji wa mikopo binafsi kufikia -5.8% katika robo ya pili ya 2017 kutoka 36.7% katika kipindi kama hiki 2016.

Hii imesababishwa na benki za biashara kuweka masharti magumu katika utoaji mikopo kutokana na mashaka ya irejeshaji mikopo hiyo.

My Take
Uchumi wa kati na viwanda bila mikopo nafuu unawezekana? Wakulima je, viwanda vidogo na vya kati watapata wapi mitaji? Mabenki si yanakwenda kuangua. Mikopo ndiyo bidhaa muhimu sana katika biashara za mabenki

Habari Kamili
.................................................
Dar es Salaam. The provision of personal loans dropped to -5.8 per cent during the second quarter of 2017 from 36.7 per cent in a similar period in 2016, the Bank of Tanzania (BoT) data shows.

That happened because commercial banks imposed tough conditions on the provision of personal loans to avoid risks.
Bankers foresee a further shrinkage in personal loans, which account for 19 per cent of all loans.

That will be the case as lenders are becoming more uncertain about debt repayments.
“Banks have been more selective on lending to avoid risks at a time when companies are massively retrenching employees,” said Mr David Moshi, head of credit risks at Standard Chartered Bank Tanzania. He told The Citizen yesterday that defaulting for salaried employees has increased to 10 per cent and more, against the regulatory benchmark of 4.5 per cent. “Banks will conduct serious vetting to prospective personal borrowers with their companies and others have stopped issuing, which resulted in the reduction of personal loans portfolios,” he said.

Personal loans were considered as assets for many commercial banks, as helped to cushion financial gaps caused by the government decision to transfer its deposits from commercial banks to the central banks.
 
..hizi tawala chakavu za vyama chakavu vilivyobaki afrika zinakaribia mwisho wake....hapa kwetu tz ccm na utawala wake wanafikia mwisho wa fikra endelevu na innovative za kuongoza chumi zao....hata pale wanaposhauriwa hawasikii maana ni sikio la kufa.....Kule south Africa kwa Zuma nako uchumi wao unadorora kila kukicha...na Taifa limewachoka chama Chao chakavu cha ANC...naona trend mbaya sana ya hivi vyma chakavu vichache vilivyobaki afrika...
 
Back
Top Bottom