D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,160
- 3,259
Wakuu jamvini
Hivi hawa wazungu tumewakosea nini mpaka wanataka kutuhujumu?
Au ni jitihada za rais Wetu mpendwa John pombe Magufuli kuinua uchumi wa taïfa letu ndio wanataka ionekane kana kwamba hafanyi kazi.
Najua watafikia mpaka kutaka kutuwekea vikwazo ila tutapambana
Kiukweli namuomba mheshimiwa rais aendelee kupiga kazi ili hii mijitu yenye wivu na nchi yetu izidi kuumia roho ila ipo siku watakukubali.
Najua hata humu jamvini kuna watu wanajua wazi kuwa kazi anayoifanya mheshimiwa rais ni kubwa na ngumu sana ila hawataki tu kukubali.
Mheshimiwa rais vita ya kiuchumi ni ngumu sana tupo nyuma yako usikate tamaa endeleza mapambano ukae ukijua wengi wanakukubali japo hawajioneshi
NBIA NAOMBA NIKUKUMBUSHE KITU NJE YA MADA KUWA JOB NDUGAI VIATU ANAVYOVAA NI VIKUBWA SANA HAVIMTOSHI.