Vita ya TCRA na AY twitter

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Hivi hizi mamlaka zetu zinafahamu nafasi zao katika jamii,
Vipi taasisi kubwa kama hii kuandika mipasho kama hii!?

TCRA.jpg
 
Hakuna mipasho hapo,ni lugha ya "twitter",fupi na isiyo na mchanganyo...@TCRA hawawezi kuongea na AY sbb sio "mteja" wao wa moja kwa moja kwa jambo hili,wao wana mkataba na Vituo vya Luninga
 
AY asijione yuko juu ya sheria. Anapaswa kutii na kujifunza kulingana na makosa yaliyomgharimu kwenye kazi yake iliyopigwa pini.
Tena ashukuru hawakuifungia moja kwa moja, wameiwekea muda maalum, kasaidiwa sana.

Ova
 
TCRA Siyo TAASISI YA sector binafsi!! AY Asijifanye yy yupo juu ya serikali/sheria
 
Ivi wakuu zigo,nusu nusu na ile ya omary nyembo zinatofaut kwenye vyupi?
Kwahiyo tatizo ni vyupi tu? Video ina maana ay ndio wakwanza kuact na vyupi..wt abt yale mauno ya wanaokatika km wako bed...unfair
 
Back
Top Bottom