Vita ya siasa dhidi ya uchumi tanzania

smartboy in tz

New Member
Sep 21, 2011
1
0
Ni lini viongozi wa tanzania watagundua tuna vita kubwa ya siasa dhidi ya uchumi, jukwaa la siasa limekuwa likichukua sehemu kubwa ya fikra na vingozi kuwekeza kwenye siasa, na kuacha uchumi ukiendelea kudorora na kufanya maisha ya watanzania halisi kuwa magumu, nchi imekosa kipaumbele zidi ya siasa, kitu gani tufanye wana jf kubadilisha dira hii potofu.
 
Ni kweli, mi naona wataalamu tz wapewe heshima wanayostahili na ushauri wao wa kitaalamu uzingatiwe katika maamuzi ya kisera tutafika. Pia mafao ya wanasiasa sana sana wabunge yapunguzwe pia kuwe na performance appraisal ya wabunge kila mwaka akiscore below average uchaguzi unaitishwa. Hii ifanywe na wanajimbo.
 
Back
Top Bottom