Vita ya pili ya dunia katika picha (WW2), tupia uliyonayo

usa na waingereza walikuja kwenye paria subuhi kabisa wakati kuna kucha huku wasovieti na nazis wakisakata rumba usiku kucha, stalin alitoa maelezo kwa majenerali wake wawahi kufika berlin kabla ya wa usa na waingereza na waliwahi kweli

sababu kuu ya ujerumani kushundwa vita ni ubishi wa Hitler kushindwa kuwasilikiliza majenerali wake maana kuna mda walitakiwa ku retreat ili wajipange upya lakini Hitler alikataa mfano Hitler kutaka kuchukua Stalingrad eti kwasababu tu ina jina la Stalin wakati walibakiza km chache tu kuingia moscow hiyo ! Na stalin nae hakutaka mji wenye jina lake ufe kwa hiyo wajerumani walipigwa sana hapo stalingrad

kutokaa na ubishi wa hitler askari wa nazis wakajikuta wameenda mbali sana na mifumo ya logistics ikawa migumu askari hawakupata supplies kwa wakati alafu baadae ikaja baridi amabayo hawakuzoea maana wao walijua kabla ya majira ya baridi watakua washafika moscow lakini walikutana na resistance vita ikachukua mda mrefu mpaka majira ya baridi wenzao baridi walishaizoea
Ndio ndio mdau huo mji ulioko magharibi mea Russia ndio uliogeuza hatima ya vita ya wajerumani... Ndio hapo ikajulikana kama battle of stalingrad. Wajerumani walipigika sana hapo kurudi nyuma hawawezi kwenda mbele hawawezi.
Sema panic pamoja na kutoelewana baina ya majenerali wa vita kila mmoja kuwa much know kuliwacost Sana.
 
Asante mkuu ila sasa nauliza Hitler aliwezaje kuvamia ulaya yote akibakiza italy na Uk sababu za kua na nguvu hizi za kibabe alizitoa wapi maana hua najiuliza sipati jibu maana ni mda mchache sana alikaa madarakani akaamsha vita.
usa na waingereza walikuja kwenye paria subuhi kabisa wakati kuna kucha huku wasovieti na nazis wakisakata rumba usiku kucha, stalin alitoa maelezo kwa majenerali wake wawahi kufika berlin kabla ya wa usa na waingereza na waliwahi kweli

sababu kuu ya ujerumani kushundwa vita ni ubishi wa Hitler kushindwa kuwasilikiliza majenerali wake maana kuna mda walitakiwa ku retreat ili wajipange upya lakini Hitler alikataa mfano Hitler kutaka kuchukua Stalingrad eti kwasababu tu ina jina la Stalin wakati walibakiza km chache tu kuingia moscow hiyo ! Na stalin nae hakutaka mji wenye jina lake ufe kwa hiyo wajerumani walipigwa sana hapo stalingrad

kutokaa na ubishi wa hitler askari wa nazis wakajikuta wameenda mbali sana na mifumo ya logistics ikawa migumu askari hawakupata supplies kwa wakati alafu baadae ikaja baridi amabayo hawakuzoea maana wao walijua kabla ya majira ya baridi watakua washafika moscow lakini walikutana na resistance vita ikachukua mda mrefu mpaka majira ya baridi wenzao baridi walishaizoea
 
Asante mkuu ila sasa nauliza Hitler aliwezaje kuvamia ulaya yote akibakiza italy na Uk sababu za kua na nguvu hizi za kibabe alizitoa wapi maana hua najiuliza sipati jibu maana ni mda mchache sana alikaa madarakani akaamsha vita.
Kitu mojawapo alichokuwa amebarikiwa nacho ni ushawishi na kukubalika kwa jamii ya wajerumani. Hii ilimsaidia ku win battle mbalimbali.
 
The last jew of vinnitsa:ni moja ya picha maarufu iliyopigwa na kikosi cha hitler kiitwacho SS death squad katika mji ujulikanao kama vinnitsa ulioko huko katikati magharibi kwa ukraine. Hii picha inadaiwa ilipigwa mwaka 1941 ikimuonesha mwanaume wa ki yahudi amepiga magoti mbele ya kaburi la pamoja ambalo tayari lina watu wamekufa kwa kupigwa risasi ,huku na Yeye akisubiria umauti wake kwa kupigwa risasi na askari wa ss aliyemwelekezea risasi ya kichwa.
Inasemekana ni moja ya picha zilizotumika katika ushahidi wakati wa mashitaka ya Nuremberg huko Ujerumani baada ya vita kwaajili ya kuwatia hatiani viongozi waandamizi wa kijeshi na wa serikali ya kinazi ya hitlerView attachment 1866469
Hawa watu walifikia level ya mwisho ya ukatili
 
Mkuu naona umeiva sana kuhusu vita ya pili ya dunia...Swali langu je kati ya russia na muunganiko wa british na u.s.a ni nani alikua tishio kwa Nazi.Pia ni nani kati yao alie sababisha kwa kiasi kikubwa kwa kushindwa vita kwa ujerumani?
USA involvement was the game changer..
British,France & allies wote walishapoteana...

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Vita ya pili ya Dunia ilikua mbaya Sana wadau yaani raia walikufa mbaya mno
Battles na alies zilikua za kufa mtu yaani ndani ya miaka michache miji iliyokua paradise ikageuka Jehanamu ya kutisha!
 
Claus von Stauffenberg
View attachment 1865210

Huyu ndio Lt Colonel Claus von Stauffenberg aliyeongoza jaribio la kumuua Hitler ndani ya ngome ya Hitler inayojulikana kama Wolf's Lair (Ngome ya Mbwa Mwitu)
Baada ya Lt Colonel Claus von Stauffenberg kujeruhiwa na bomu kwenye vita ta Afrika kaskazini, akaanza kuingiwa na maluweluwe ya kuamka na kujua Hitler analipoteza taifa la ujerumani.
Akapanga na kuwasuka majenerali kadhaa wa Jeshi la Ujerumani wa vikosi vya ardhi vinavyojulikana kama "Wehrmacht", walikuwa hawampendi Hitler kwa sababu ya upendeleo wake na kikosi cha SS Division(kikosi cha mauaji) kilichokuwa na jukumu la kumlinda Hitler na kilihusika na mauji ya kimbari ya wa israel chini ya shabiki asiyekuwa mwanajeshi wala uzoefu wa kijeshi ajulikanae kwa jina Heinrich Himmler.

Siku ya jaribio la kumuua Hitler, ilipangwa auwawe na mlipuko katika kikao cha kijeshi kujadili vita inayoendelea na Urusi.

Claus von Stauffenberg baada ya kulaghai walinzi wa getini na ujanja mwingi alifanikiwa kuigia ya ngome ya mbwa mwitu na alitayarisha mkoba wa kazi (briefcase) ukiwa na bomu lilitegwa na kiunga muda(time delay fuse).
Claus von Stauffenberg alifanikiwa kuingia kwenye mkutano bila kualikwa kwa mikwara ya hapa na pale kama Unanijua mimi ni nani?
Alivyoingia kwenye mkutano, akatafuta sehemu iliyo shabihiana na sehemu ya Hitler anaposimama na kuweka mkoba wa kazi (briefcase) chini ya meza.
Kwa bahati mbaya afisa wa jeshi mwingine alikuja na kujumuika kwenye kikao na kwenda kusimama mbele ya mkoba uliokuwa na bomu, mara akaona mkoba unambana kusimama vizuri, akausogeza pembeni zaidi, hii ndio ikawa chachu ya jaribio kutofanikiwa,

Claus von Stauffenbergalivyoona hivyo akashikwa na hasira na kutoka kwenye mkutano haraka haraka, baada ya dakika kadhaa, bomu likalipuka, na kumjeruhi Hitler.

Wakati Hitler yuko mahututi, Claus von Stauffenberg na wenzake wlikuwa wanapanga kuchukua nchi kwa kutumia wanajeshi wa vikosi vya ardhi "Wehrmacht", hapo ndio wanoko wa Hitler wakajua waliopanga njama za mauaji.

Kilichofuata hapo, ni msako wa kina Claus von Stauffenberg na majenerali wa vikosi vya ardhi "Wehrmacht", na wote kuhukumiwa kifo cha kupigwa risasi na Firing Squad

View attachment 1865209
Huyu jamaa kuna movie imeigizwa na TOM CRUISE inazungumzia kuhusu huyu mwamba inaitwa

File:Valkyrie poster.jpg
 
yaani walikimbilia tengeru ama walikuja kutalii?
Walikimbilia Tengeru kwa usalama wa maisha yao kuwakwepa Nazis, hii taarifa inaelezea vizuri historia yao 👇

Miaka hii ya karibuni tukizungumzia wakimbizi, akili zetu zinatupeleka Congo, Burundi, Somalia, Iraq na nchi zingine ambazo zinatajika kwenye vyombo vingi vya habari

Je unaweza kuamini kuwa nchi za Ulaya nazo ziliwahi kutoa wakimbizi, na wakimbizi hao kuifadhiwa katika nchi za Afrika, tena Afrika Mashariki?

Wengi wetu hatuna habari wala hatufahamu kuwa Tanzania iliwahi kupokea wakimbizi kutoka Poland, wakimbizi ambao walihifadhiwa katika mji wa Arusha uko Tengeru.

Kiukweli ni miaka kadhaa imepita sasa tangia wakimbizi hao walipoifadhiwa, kulikuwa na idadi ya wakimbizi wasiopungua elfu tano (5 000), ambao walipewa hifadhi katika nchi ya Tanzania wakati huo ikiitwa Tanganyika koloni la Mwingereza.

Bara pekee ambalo lilikuwa salama wakati wa vita kuu ya kwanza na ya pili ilikuwa ni Afrika, kwa maana ya Afrika Mashariki.

Serikali ya Muingereza, ilijenga vituo vingi vya wakimbizi visivyo pungua elfu ishirini (20 000) kwenye makoloni yake. Na moja ya makoloni ya Kiafrika yaliyopata bahati ya kupokea wakimbizi wa kutoka ulaya (Poland) ni Tanganyika, Kenya na Uganda.

Ukifika eneo ili utakutana na kibao kimeandikwa "Cemetery of Polish War Refugees 1942-1952". “Makaburi ya Kipolish ya wakimbizi wa vita 1942-1952”
Mahali hapo kuna makaburi yasiopungua 148 mengi yao yakiwa ni ya waumini wa kikatholiki, Orthodoksi na Wayahudi.

Makaburi yote hayo 148 ni ya wakimbizi, ambao wengi waliathirika na magonjwa ya Maralia na mafua na maradhi mengine.
Kabla ya hapo wengi wao walikuwa ni watumwa waliofanyishwa kazi na mateso uko Urusi katika jimbo lenye baridi kali sana la Siberia.

Ilikuwa ni tarehe 1 Septemba mwaka 1939 majeshi ya Nazi (Ujerumani) yalipovamia kwa ghafla nchi ya Poland kipindi cha mwanzo wa vita kuu ya pili ya dunia.

Karibia nusu ya nchi ya Poland ilichukuliwa na Umoja wa Kisovyeti (sasa Urusi) na hali hii ilipelekea watu wengi haswa wanaume na wanawake wenye afya zao kuchukuliwa na kupelekwa kufanyakazi za kitumwa uko Urusi katika jimbo la Siberia, hatua hii ya kuchukuwa watu ilianza tarehe 10 Februali 1940, baada ya makundi ya kisomi na wenye vipato kuanzisha harakati za upinzani.

Mwaka 1942 wakati majeshi ya Ujerumani yanavamia Poland, serikali ya Kipolishi wakishirikiana na umoja wa Kisovyeti wakaanza kuwarudisha wahamiaji wa Kipolishi, wapatao elfu arobaini na saba (47 000) waliohamishwa Siberia. Wengi wao walipelekwa kwenda kuishi kwenye makoloni ya Muingereza, na wakimbizi wapatao elfu kumi na nane (18 000) wa Kipolish walihamishiwa kwenye makambi ya wakimbizi yaliyoko Afrika.

Tanganyika peke yake kulikuwa na kambi sita (6), na kambi kubwa kuliko zote ilikuwa Arusha katika kijiji cha Tengeru, kambi ambayo ilikuwa na wakimbizi wapatao elfu tano (5 000).

Matajiri ambao walikuwa ni walowezi wa Kipolish, hawakukaa tu na kusubiri huruma ya serikali ya mkoloni (Muingereza) walijitahidi na kufanya shughuli za kimaendeleo ili kuendesha maisha yao, walilima mashamba, wakafanya biashara ndogo ndogo, wakafungua na shule kadhaa. Wakajengwa kliniki, na hospitali, makanisa na sinagogi moja.

Baada ya vita ya dunia kwisha, wakimbizi wengi walirudi Ulaya, lakini wengi wao hawakuwa na mahali pa kwenda, sababu ndugu na jamaa zao karibia wote aidha walikuwa wamekwisha fariki kutokana na vita au walikuwa uhamishoni. Na wengine walikuwa bado na hofu ya kuchukuliwa tena na kupelekwa kwenye makambi ya mateso uko Urusi na Ujerumani.

Kumbukumbu za kihistoria zinaonyesha kuwa takribani wakimbizi elfu moja (1 000) walibakia na kufanya makazi yao Afrika, na wakimbizi wasiopungua mia moja na hamsini (150) walibakia Tengeru.

Baadhi ya Wanakijiji wachache hapo Tengeru wanajuwa kuwa kuna makaburi ya walowezi wa kipolish, lakini ni Watanzania wangapi ambao wanajuwa kuwa Tanzania ilipata bahati ya kuhifadhi wakimbizi wa KIpolish wasiopungua elfu tano ( 5000)?

Wakati dunia nzima iliwatelekeza wakimbizi hawa, lakini wakajikuta wakiletwa kwenye kisiwa cha amani Tanzania na kuishi bila ya wenyeji wengi kujuwa.

Makaburi hayo ya Kipolish yanahifadhiwa kwa pesa zitokazo kwenye serikali ya Poland.
..
 
Makaburi hayo ya Kipolish yanahifadhiwa kwa pesa zitokazo kwenye serikali ya Poland...
Asante kwa maelezo
 
images (21).jpeg
 
General Erich von Mainstein
Field Marshall

View attachment 1866100

Alikuwa ni Generali wa Jeshi la Wermacht aliyeongoza kikosi cha 56th Panzer Corps, divisheni ya 4 ya Jeshi la kaskazini ( 4th Panzer Army of Army Group North) katika uvamizi wa kivita ndani ya nchi Umoja wa kishoshalist wa Kisoviet (USSR) au Urusi kama inavyojulikana kwa wengi.

Huyu pia alikuwa hampendi kabisa Hitler na kuna fununu za kumuhusisha na jaribio la kuumua Hitler liliongozwa na Lt Colonel Claus von Stauffenberg lakini walikosa ushadhidi na kama adhabu akapelekwa kuongoza vita ndani Urusi kwenye kikosi cha 4th Panzer Army of Army Group North kilichopewa eneo gumu katika uvamizi wa kushambulia mji wa Leningrad (Mji wa Muasisi wa Umoja wa Kishoshalist wa Kisoviet).

General Erich von Mainstein hakutetereka na kuongoza mashambulizi mpaka ndani ya kilometer kumi kufikia mji wa Leningrad.

Wakati huo huo ndio majira ya baridi(Winter season) yanaanza Urusi, hii ilichangia sana kuzorota kwa mashambulizi na kusababisha Urusi wajipange upya na kurudisha mashambulizi makali kwa kutumia uzoefu wa kuishi kwenye majira ya baridi.

Jeshi la General Erich von Mainstein liliathirika sana na kuomba ruhusa kurudi nyuma iliwajipange upya, ombi lilikataliwa na Hitler, na kuamuriwa kuendelea kusonga mbele bila msaada wa vifaa na silaha.

General Erich von Mainstein alikaidi amri ya Hitler ya kusonga mbele na kuamuru jeshi lake kurudi nyuma ili kuokoa maisha ya wanajeshi wengi wa Ujerumani.

Lakini katika mbinu za kurudisha jeshi nyuma(retreat), alitumia mbinu ya kijeshi ambayo ilimletea sifa kedekede kutoka dunia nzima na mataifa ya magharibi.

Alirudisha jeshi nyuma katika umbo la U, na kuwaingiza vikosi vya Urusi katikati ya umbo na kuwazunguka katika umbo O, na kupiga vilivyo vikosi vilivyozungukwa na kusababusha jeshi la Urusi kuchanganyikiwa na kutapakaa ovyo bila mpangilio na kuwezesha jeshi la Ujerumani kuchukua tena maeneo yalioachwa baada ya kurudi nyuma.

Hata baada ya vita ya pili kuisha, na Ujerumani kushindwa vita vibaya, General Erich von Mainstein hakufunguliwa mashitaka na nchi za magharibi bali alipewa kazi katika umoja wa NATO, kama mshauri wa mambo ya kijeshi kwa nchi za magharibi.
moja ya sababu ya Hitler kushindwa vita ni alikua hapendi kufuata ushauri anaopewa na majenerali wake , anyway hemu vitu vya General Zhukov

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
Walikimbilia Tengeru kwa usalama wa maisha yao kuwakwepa Nazis, hii taarifa inaelezea vizuri historia yao 👇

Miaka hii ya karibuni tukizungumzia wakimbizi, akili zetu zinatupeleka Congo, Burundi, Somalia, Iraq na nchi zingine ambazo zinatajika kwenye vyombo vingi vya habari

Je unaweza kuamini kuwa nchi za Ulaya nazo ziliwahi kutoa wakimbizi, na wakimbizi hao kuifadhiwa katika nchi za Afrika, tena Afrika Mashariki?

Wengi wetu hatuna habari wala hatufahamu kuwa Tanzania iliwahi kupokea wakimbizi kutoka Poland, wakimbizi ambao walihifadhiwa katika mji wa Arusha uko Tengeru.

Kiukweli ni miaka kadhaa imepita sasa tangia wakimbizi hao walipoifadhiwa, kulikuwa na idadi ya wakimbizi wasiopungua elfu tano (5 000), ambao walipewa hifadhi katika nchi ya Tanzania wakati huo ikiitwa Tanganyika koloni la Mwingereza.

Bara pekee ambalo lilikuwa salama wakati wa vita kuu ya kwanza na ya pili ilikuwa ni Afrika, kwa maana ya Afrika Mashariki.

Serikali ya Muingereza, ilijenga vituo vingi vya wakimbizi visivyo pungua elfu ishirini (20 000) kwenye makoloni yake. Na moja ya makoloni ya Kiafrika yaliyopata bahati ya kupokea wakimbizi wa kutoka ulaya (Poland) ni Tanganyika, Kenya na Uganda.

Ukifika eneo ili utakutana na kibao kimeandikwa "Cemetery of Polish War Refugees 1942-1952". “Makaburi ya Kipolish ya wakimbizi wa vita 1942-1952”
Mahali hapo kuna makaburi yasiopungua 148 mengi yao yakiwa ni ya waumini wa kikatholiki, Orthodoksi na Wayahudi.

Makaburi yote hayo 148 ni ya wakimbizi, ambao wengi waliathirika na magonjwa ya Maralia na mafua na maradhi mengine.
Kabla ya hapo wengi wao walikuwa ni watumwa waliofanyishwa kazi na mateso uko Urusi katika jimbo lenye baridi kali sana la Siberia.

Ilikuwa ni tarehe 1 Septemba mwaka 1939 majeshi ya Nazi (Ujerumani) yalipovamia kwa ghafla nchi ya Poland kipindi cha mwanzo wa vita kuu ya pili ya dunia.

Karibia nusu ya nchi ya Poland ilichukuliwa na Umoja wa Kisovyeti (sasa Urusi) na hali hii ilipelekea watu wengi haswa wanaume na wanawake wenye afya zao kuchukuliwa na kupelekwa kufanyakazi za kitumwa uko Urusi katika jimbo la Siberia, hatua hii ya kuchukuwa watu ilianza tarehe 10 Februali 1940, baada ya makundi ya kisomi na wenye vipato kuanzisha harakati za upinzani.

Mwaka 1942 wakati majeshi ya Ujerumani yanavamia Poland, serikali ya Kipolishi wakishirikiana na umoja wa Kisovyeti wakaanza kuwarudisha wahamiaji wa Kipolishi, wapatao elfu arobaini na saba (47 000) waliohamishwa Siberia. Wengi wao walipelekwa kwenda kuishi kwenye makoloni ya Muingereza, na wakimbizi wapatao elfu kumi na nane (18 000) wa Kipolish walihamishiwa kwenye makambi ya wakimbizi yaliyoko Afrika.

Tanganyika peke yake kulikuwa na kambi sita (6), na kambi kubwa kuliko zote ilikuwa Arusha katika kijiji cha Tengeru, kambi ambayo ilikuwa na wakimbizi wapatao elfu tano (5 000).

Matajiri ambao walikuwa ni walowezi wa Kipolish, hawakukaa tu na kusubiri huruma ya serikali ya mkoloni (Muingereza) walijitahidi na kufanya shughuli za kimaendeleo ili kuendesha maisha yao, walilima mashamba, wakafanya biashara ndogo ndogo, wakafungua na shule kadhaa. Wakajengwa kliniki, na hospitali, makanisa na sinagogi moja.

Baada ya vita ya dunia kwisha, wakimbizi wengi walirudi Ulaya, lakini wengi wao hawakuwa na mahali pa kwenda, sababu ndugu na jamaa zao karibia wote aidha walikuwa wamekwisha fariki kutokana na vita au walikuwa uhamishoni. Na wengine walikuwa bado na hofu ya kuchukuliwa tena na kupelekwa kwenye makambi ya mateso uko Urusi na Ujerumani.

Kumbukumbu za kihistoria zinaonyesha kuwa takribani wakimbizi elfu moja (1 000) walibakia na kufanya makazi yao Afrika, na wakimbizi wasiopungua mia moja na hamsini (150) walibakia Tengeru.

Baadhi ya Wanakijiji wachache hapo Tengeru wanajuwa kuwa kuna makaburi ya walowezi wa kipolish, lakini ni Watanzania wangapi ambao wanajuwa kuwa Tanzania ilipata bahati ya kuhifadhi wakimbizi wa KIpolish wasiopungua elfu tano ( 5000)?

Wakati dunia nzima iliwatelekeza wakimbizi hawa, lakini wakajikuta wakiletwa kwenye kisiwa cha amani Tanzania na kuishi bila ya wenyeji wengi kujuwa.

Makaburi hayo ya Kipolish yanahifadhiwa kwa pesa zitokazo kwenye serikali ya Poland...
kwa hiyo hawa jamaa mpaka leo hii wapo apo??/ vizazi vyao?
 
Asante mkuu ila sasa nauliza Hitler aliwezaje kuvamia ulaya yote akibakiza italy na Uk sababu za kua na nguvu hizi za kibabe alizitoa wapi maana hua najiuliza sipati jibu maana ni mda mchache sana alikaa madarakani akaamsha vita.
hitler ailikua anajipanga kwa vita tangu aingie madarakani! Wakati mataifa mengine yanaendelea na kuugulia madhara ya vita vya kwanza vya dunia hitler yy alikua anajua kwanini anaingia madarakani lengo lake ilikua kuteka ardhi kubwa ulaya kwa ajili ya rasilimali ili nchi yake ifaidi mfano urusi alikua anajua ina gesi a mafuta mengi hivyo akiipata wajerumani wengi watakula maisha
kwa hiyo wakati yy anajiandaa kwa hilo mataifa mengine hawakua na habari kwa hiyo akatengeneza jeshi kubwa sana lililoweza kuwashinda wengine kirahisi
 
kwa hiyo hawa jamaa mpaka leo hii wapo apo??/ vizazi vyao?
Sina uhakika ila nafikiri walirudi kwao, katika maisha yangu ya Arusha sijawahi kusikia ama kuona kizazi cha hao wakimbizi ambacho kimekulia hapo hapo Tengeru, kuna watu wengine hata hawaifahamu hio historia
 
Back
Top Bottom