mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,972
- 9,260
Ndio ndio mdau huo mji ulioko magharibi mea Russia ndio uliogeuza hatima ya vita ya wajerumani... Ndio hapo ikajulikana kama battle of stalingrad. Wajerumani walipigika sana hapo kurudi nyuma hawawezi kwenda mbele hawawezi.usa na waingereza walikuja kwenye paria subuhi kabisa wakati kuna kucha huku wasovieti na nazis wakisakata rumba usiku kucha, stalin alitoa maelezo kwa majenerali wake wawahi kufika berlin kabla ya wa usa na waingereza na waliwahi kweli
sababu kuu ya ujerumani kushundwa vita ni ubishi wa Hitler kushindwa kuwasilikiliza majenerali wake maana kuna mda walitakiwa ku retreat ili wajipange upya lakini Hitler alikataa mfano Hitler kutaka kuchukua Stalingrad eti kwasababu tu ina jina la Stalin wakati walibakiza km chache tu kuingia moscow hiyo ! Na stalin nae hakutaka mji wenye jina lake ufe kwa hiyo wajerumani walipigwa sana hapo stalingrad
kutokaa na ubishi wa hitler askari wa nazis wakajikuta wameenda mbali sana na mifumo ya logistics ikawa migumu askari hawakupata supplies kwa wakati alafu baadae ikaja baridi amabayo hawakuzoea maana wao walijua kabla ya majira ya baridi watakua washafika moscow lakini walikutana na resistance vita ikachukua mda mrefu mpaka majira ya baridi wenzao baridi walishaizoea
Sema panic pamoja na kutoelewana baina ya majenerali wa vita kila mmoja kuwa much know kuliwacost Sana.