Ni dhahiri mikataba mingi ya hovyo na dhalima dhidi ya masilahi ya nchi yetu ilitengenezwa ktk AWAMU YA 3 chini ya Mkapa. Mikataba ya uchimbaji wa madini, IPTL nk.
Wana siasa na wanasheria wa serikali ndiyo waliohusika ktk mikataba hiyo mibovu. Walifanya hujuma hiyo wakiwa na masilahi binafsi ktk uwekezaji huo.
Mikataba ambayo nchi ILIVYONYIMWA KUWA NA HISA KTK MAKAMPUNI HAYO.Hata watanzania, sera , sheria na mikataba haikuwapa HISA wazalendo.
Ni wizi mtupu toka mwanzoni, kinyume cha Ibara ya 27 ya katiba. JK Kikwete awamu ya pili yalijaribu kupambana na hujuma hizi, matokeo yake alitishiwa na akarudi nyuma.
1.Uwezekao wa kujenga smelter yetu UPO. Lakini watanzania MAJANGILI hasa watumishi wa TMA hawaitaki smelter hiyo.
2.Uwezekano wa nchi yetu na watanzania kuwa na hisa ktk makampuni haya, kwa mujibu wa sheria upo.Lakini wana siasa na wanasheria wa hawakutaka hilo.
Hoja ni kwamba Rais Magufuli kupambana na jambo hili la mchanga tujue anapambana na DHIDI YA MASILAHI YA WANASIASA WENZAKE WA TANZANIA. Vita hii ni mbaya sana kwa sababu ni vita DHIDI YA WANASIASA NA WANASHERIA(IS THE WAR AGAINST THE ELITES).
Lazima tumuunge mkono Rais wetu.