Vita ya Marekani na China yaendelea kuwaka, China yatangaza kulipiza kisasi

Kwa mawazo yako br unaamini wachina hawawezi kuendelea bila kusoma marekani? Iko hivi Kuna wamarekani kibao pia wako China wakisoma vyuo mbali. Lakini pia nikukumbushe hata vyuo vya nyumbani kwetu tz vina wamarekani wengi Sana wakisoma. Je tumewazidi Sana , au hawana pengine pa kusoma? Tafakari
aisee na umepewa likes 5
 
hahaha umeongea utopolo kama alivopaniki mchina, hao wamarekani wengi sana wanasoma chuo gani hapa bongo maana hata udsm tu kukuta mzungu ni ishu, labda hawa kina jokate na vanesa mdee ambao waliishi marekani baba zao walipokua mabalozi wakarudi kusoma tz
Acha na uwe utopolo! But humo udsm ndipo nilipomalizia studies mwaka Jana but tumewaacha wamarekani, wafaransa na hata pia wachina na wasouth Korea! Haitoshi tu, Kuna walimu wamarekani niwajuao watatu
 
sawa, hongera kwa kuhitimu bachelors in utopolo
 
amesahau kilichomkuta alipojaribu kulipa kisasi kwa Mr tariff man. Hawashtuki kwamba ni huu ni mtego!
 
Kwa mawazo yako br unaamini wachina hawawezi kuendelea bila kusoma marekani? Iko hivi Kuna wamarekani kibao pia wako China wakisoma vyuo mbali. Lakini pia nikukumbushe hata vyuo vya nyumbani kwetu tz vina wamarekani wengi Sana wakisoma. Je tumewazidi Sana , au hawana pengine pa kusoma? Tafakari
:D :D :D ,Mmmarekani gani anasoma China wewe,labda wanaenda kujifunza lugha ya kichina.Huwezi kuna mmarekani anasoma software engineering eti Gungzhou University...Kwa taarifa yako mtoto wa Xi Jingping amesoma Havard University USA...Ndio ujue wachina wanaipa umuhimu kiasi gani elimu ya Marekani kujenga nchi yao...
 
hahaha umeongea utopolo kama alivopaniki mchina, hao wamarekani wengi sana wanasoma chuo gani hapa bongo maana hata udsm tu kukuta mzungu ni ishu, labda hawa kina jokate na vanesa mdee ambao waliishi marekani baba zao walipokua mabalozi wakarudi kusoma tz
Anajifariji tuu,Wamarekani wanaenda china kutalii tu sio kusoma..Yaani Mmarekani aahce kusoma Engeneering MIT aende kusoma China...Wabingo ndio wanakimbilia China kusoma sababu vyuo bei chee,Ila wakirudi wanakua mamburula tu.Elimu ya marekani ina exposure bana,halafu hawana uchoyo wa maarifa kama wachina.Ndio maana watu wengi waliosoma USA au Ulaya huwezi kuta wamekaa kiree ree.Wako tofauti kabisa afu wako innovetive sana yani...
 
Wachina wanaipenda Elimu ya USA kuliko hata ya kwao...Watu wengi wanaoendesha taasisi kubwa za kisayansi China,Ukifuatilia lazima utagundua kuna baadhi ya elimu yake amesoma marekani au ulaya...
 
Yaani Trump huku covid 19, kule maandamano, hapo China yaani hii inaitwa mtu kati Trump sijui atatokea wapi🤣🤣🤣🤣🤣
Trump ni fighter aisee,huwa hashindwi kwenye mambo yake..Umeona advantage ya haya maandamano?,Ni kwamba yataisha na watu hawatarudi lockdown tena,wataunga moja kwa moja kazini.Hapo Trump atatoka na kusema,alikuwa sahihi aliposema nchi ifunguke watu wapige kazi..Ma governor walikuwa wanamletea ngumu kuruhusu watu watoke..Sasa wametolewa na maandamano na ghafla New york haijatangaza vifo vya Corona kwa siku tatu.Je hii issue ya kifo cha Floyd ilikuwa planed kuwatoa watu watoke nje??.No body knows..
 
:D :D :D ,Mmmarekani gani anasoma China wewe,labda wanaenda kujifunza lugha ya kichina.Huwezi kuna mmarekani anasoma software engineering eti Gungzhou University...Kwa taarifa yako mtoto wa Xi Jingping amesoma Havard University USA...Ndio ujue wachina wanaipa umuhimu kiasi gani elimu ya Marekani kujenga nchi yao...
Ata uwe na PhD saba kutoka Afrika upewi kazi China; ila ukiwa ata na cheti cha diploma kutoka USA kazi unapata haraka sana China tena unaombwa.
Nimekaa Uchina nimeyaona sana; waliowahi kufika Uchina wanayajua haya yote ilifikia hatua wengine wanasema ni waMarekani weusi ili tu wapate kazi Uchina.
Elimu ya USA bado ipo juu sana kwa dunia ya sasa.
 
Back
Top Bottom