Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,056
VITA YA MANENO SASA NI RASMI KATI YA UGANDA NA JUMUHIYA YA ULAYA.
Muda mfupi uliyopita msemaji wa serikali ya Uganda Ophono Opondo amemaliza mkutano na waandishi wa habari. Ktk mkutano huo Ophono ameishambulia EU kwa kuingilia uhuhuru wa Uganda. Baadhi ya maneno yake ni kama:-
-Hatufundishwi na EU jinsi kutawala nchi yetu
-Tunajua hasira zao zinatokana na sisi kukataa mapenzi ya jinsia moja
-Kama kuna wabunge na mawaziri wa EU ni mashoga watetee ushoga wao bila kuingilia uhuru wetu
-Mataifa ya magharibi yameangusha serikali za Libya, Tunisia, Misri na Iraki na huko kwa sasa hakutawaliki. Na ndicho wanataka kwetu.
-Ni dharau kwa mataifa ya magharibi kufikia hatua ya kuzitaka mahakama zetu kufuta mashitaka mtu fulani waliye na masilahi naye. Ni kuingilia uhuru wetu na mahakama zetu
Hivi karibuni jumuhiya ya Ulaya kupitia bunge lake wamepitisha azimio kuitaka serikali ya Uganda kumfutia mashitaka Bob Wine na viongozi wengine wa upinzani vinginevyo wataangalia uhusiano na nchi hiyo ikiwa ni pamoja na misaada inayotolewa kwa Uganda....