VITA YA MADAWA YA KULEVYA AWAMU YA 3 DAR

han2710

Member
Aug 5, 2016
41
17
Baada ya Mh. Paul Makonda kutangaza kwamba kesho majira ya saa 4 asubuhi atatangaza majina ya watu wengine katika vita vya kutokomeza madawa ya kulevya katika jiji la Dar es salaam kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram, hii ikiwa inategemewa kuwa mara ya tatu kwa mh. kufanya hivyo kwa awamu ya kwanza tukishuhudia wanamuziki wakitawala zaidi, na katika awamu ya ili iishika kasi kwa kutangazwa kwa watu maarufu hapa nchini ambapo kwa kiasi flani imeshtua watu wengi.
Nadhani katika maandalizi ya awamu hii ya tatu usiku huu najua kila mwananchi atakuwa attention kwa utaka kujua kesho ni nani atahusika katika orodha ya awamu hii, ila mm nadhani litakuwa swala jipya maana kila mtu hususani watu maarufu na mashuhuri hapa nchini usiku huu watakuwa hawalali kwa raha wakiwa wanajisikilizia nn kitatokea kesho.
www.jamiiforums.com/mobile-gallery/1609256f77ea1c2e631a9e2bacc3a2fc.jpg[/IMG]
 

Attachments

  • Screenshot_2017-02-12-23-23-14.png
    Screenshot_2017-02-12-23-23-14.png
    431.4 KB · Views: 32
Back
Top Bottom