Vita ya kwanza ya dunia

misha

Member
Nov 19, 2010
59
7
Leo ni miaka 92 tangu vita hii iishe-miaka kadhaa niliandika riwaya kuhusu vita hivi.
TAHADHARI--HII NI RIWAYA HISTORIA,NA SIYO HISTORIA YA MATUKIO NINAYOYAGUSA!

...Ujumbe uliletwa na Wangoni (toka kwa Shaka) na ukakabidhiwa kwa Wanyamwezi, Wanyamwezi walimchagua Mirambo awe mhifadhi wa ujumbe;muda ulipofika aliupeka kwa Kabaka na ukafanyiwa kazi,Wanyamwezi wakawa wabeba ujumbe na Wangoni wakawa ni wahakiki wa ujumbe huu uliotoka kwa Shaka Zulu.
Baadhi ya mambo yaliyokuwemo ni ujio wa Wakoloni na Uhuru! Pamoja na vita ya kwanza ya dunia...
....Waliuona mkono wa Mungu kutokea Tanga na Nyikani kama walivyoelezwa....,
Baada ya vita Wazee wa Kingoni na Watani wao hutoa shukrani na kumbukumbu mjini Tanga,katika shughuli ya Mwaka 1950,mvua ya ghafla ilishuka katika eneo hilo na sehemu nyingine haikunyesha-wakatafiti- wakaelezwa uhuru unakuja KARIBUNI, aliyetabiriwa yuko njiani jitayarisheni.....harakati za Uhuru zikaanza Mwalimu alitambulikana haraka kwa jina lake na sehemu aliyotoka....
Uhuru ukaja Tanganyika kama ilivyo tabiriwa
 
Asante sana Ndugu Kituko kwa 'comment', nimefarijika --niliiandika riwaya hii muda mrefu kidogo, nilichoandika hapo juu ni kifupisho cha riwaya yenyewe . Majariwa nitaifanyia 'brush-up' ili niichapishe.
KWA MARA NYINGINE TENA HII NI RIWAYA-HISTORIA
 
Back
Top Bottom