Tume ya uchungunzi ya kuhusika kwa waingereza kwenye vita ya Iraq mwaka 2003 imesema Uingereza ilifanya makosa kuhusika kwenye hiyo vita.
Mwenyekiti wa Tume hiyo Sir John Wilcot ametoa ripoti rasmi leo na kumtaja Tony Blair waziri mkuu wa zamani wa Uingereza kusababisha nchi hyo kuingia kwenye vita bila sababu za msingi.
Ripoti hyo ina kurasa zaidi ya elfu sita na ina maneno 2.6m, imechukua miaka saba kuandaa.
David Cameron amewasilisha maoni ya serikali bungeni na bunge litaanza kuijadili.
SWALI KUBWA NI je, Tonny Blair atapelekwa The Heage?
Source: BBC