ivunya
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 2,286
- 2,199
Kambi ya jeshi ilipovamiwa na kuwateka wanajeshi ilikuwa kabla Au baada ya kuzuia uchaguzi usifanyike?So watigray walipovamia kambi ya kijeshi na kuiba silaha kisha kuwateka wanajeshi ulitaka serikali ikenue na kuwapongeza watigray kwa vile serikali haina chuki na watigray si ndio ? muwe mnafuatilia kabla ya kushabikia , serikali ilitoa maonyo ila watigray wakavamia kambi ya jeshi kuonesha wanaitaji ngumi , je ni bora ufe ukiogopa corona wakati kifo unakiona mlangoni