USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,663
- Thread starter
- #161
Hatari sana tupo na wageni wengi nchiniKuandika ni hiari yangu kama wengine wanavyoandika . Nisichoelewa ni kwanini wengine hawaoni shida kuuza baraka ya mzaliwa wa kwanza kwa kipande cha mkate? Ikishatoka ndio imetoka. Hairudi kamwe.
Tanzania ni kubwa kuliko few individuals with no other agenda, than personal power gaining. And some do it at a regrettably a huge price.