Vita ya corona: Aljazeera wanatumiwa kutuchafua tena

Kuandika ni hiari yangu kama wengine wanavyoandika . Nisichoelewa ni kwanini wengine hawaoni shida kuuza baraka ya mzaliwa wa kwanza kwa kipande cha mkate? Ikishatoka ndio imetoka. Hairudi kamwe.
Tanzania ni kubwa kuliko few individuals with no other agenda, than personal power gaining. And some do it at a regrettably a huge price.
Hatari sana tupo na wageni wengi nchini
 
Mwandishi wa Aljazeera Malcon Webb anatumia videos za maziko ya walikufa kwa Ebola DRC,Liberia na Sierra Leone nakuzikwa usiku eti ndio Tanzania na kusema kuwa bado wanazika watu usiku na kuchukua picha za video za hospitali ya amana kuwa humo ndani wamejaa wagonjwa wa corona ,huu ni upotoshaji wawazi

Mwandishi huyu wa aljazeera anayeishi Nairobi alifanya amemhoji Zito kabwe ambaye amesema kuwa watanzania wengi wanaogopa sana na kuwa tupo kwenye hofu kubwa.
Swali ni je? Mwandishi huyu hakuona haja ya kuwauliza watu wenye mamlaka ya serkali ilikubalance habari yake mfano. Msemaji wa serikali, waziri wa afya,waziri mkuu au katibu mkuu wa wizara ya afya

Binafsi nimeona kama kuna vita ya kiuchumi ndani ya vita ya corona na mabeberu wanaona waibu kwa kuwa tumepigana vita vyema na kushinda mapema tu ,hawaaamini yulivyo mmaliza corona mapema na ndio maana wanawatumia kina zito makuwadi wa mabeberu kutuchafua na Kuwaita wanaharakati

Kitendo cha kuona habari hii inapewa kipaumbele kama habari ya pili kwa ukubwa baada ya ile ya Hong Kong na kuoneshwa kila baada ya nusu saa wakati duniani kuna habari kubwa linatia wasiwasi kuhusu azma ya kutuchafua.

Sisi sio nchi ya kwanza kuruhusu watu waende beaches kuna USA. Spain, Qatar penyewe ambako watu wanakula bata

OMBI KWA SERIKALI

wamwite mwanahabari Malcolm Webb na kumuhoji kama walivyomuhoji kaimu barozi wa USA hapa nchini au wazuie aljazeera kufanya kazi hapa nchini

USSR
Wanatapatapa hamana namna ya kupambana na Ccm chini ya JPM. Wanabaki kutunga uongo.
 
Pamoja na kuwa tunakaribia kumshinda adui yetu ila kuna watu wanaturudisha nyuma. Nafikiri ni kwavile wana chuki kwa Raisi.

Upotoshaji umekua mwingi mno. Lakini tutashinda.

Tuzidi kuchukua hatua kujilinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanafurahia kumchafua rais na kuona watu wanawekwa lockdown
 
Kesi ya mbowe ya kukwapua billion 8pesa ya wabunge wenzake imeiva hiyo nayo utasema anaonewa
Uongo upi? Kuwabambikia watu kesi ni uongo? Kutothubutu kukemea watu kukaa vijiweni ni uongo? Wapi viongozi wa CCM kuhimiza uvaaji barakoa?
 
Kuficha takwimu kumechochea watanzania kupuuzia tahadhari zote ndiyo maana sasa hawavai barakoa wala kunawa mikono
Kupuuzia ni akili zao kwani nani amezuiwa Kuvaa barakoa na kunawa au kutulia kwake
 
Pamoja na kuwa tunakaribia kumshinda adui yetu ila kuna watu wanaturudisha nyuma. Nafikiri ni kwavile wana chuki kwa Raisi.

Upotoshaji umekua mwingi mno. Lakini tutashinda.

Tuzidi kuchukua hatua kujilinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo unapotosha adui yupi? Adui ni wewe mwenyewe kuacha kutoa takwimu ndiyo uadui huo utashinda nini? Utashinda kitu gani wakati hakuna hamasa kuhamasisha watu wavae barakoa kunawa mikono utashinda nini hapo kwa mfano? Hujathubutu kupiga marufuku watu kukaa vijiweni mikusanyiko alafu unajipa moyo kushinda nini? Hujazuia maambukizi utashinda nini?
 
Zitto Kapoteza Mvuto Kabisa ..Kwa Namna anavyofanya Siasa Ni Namna Ambayo Afanyi Kwa Interest Ya Taifa.Anafanya for the Sake of is Family.PUPPET ZITTO.
 
Mwandishi wa Aljazeera Malcon Webb anatumia videos za maziko ya walikufa kwa Ebola DRC,Liberia na Sierra Leone nakuzikwa usiku eti ndio Tanzania na kusema kuwa bado wanazika watu usiku na kuchukua picha za video za hospitali ya amana kuwa humo ndani wamejaa wagonjwa wa corona ,huu ni upotoshaji wawazi

Mwandishi huyu wa aljazeera anayeishi Nairobi alifanya amemhoji Zito kabwe ambaye amesema kuwa watanzania wengi wanaogopa sana na kuwa tupo kwenye hofu kubwa.
Swali ni je? Mwandishi huyu hakuona haja ya kuwauliza watu wenye mamlaka ya serkali ilikubalance habari yake mfano. Msemaji wa serikali, waziri wa afya,waziri mkuu au katibu mkuu wa wizara ya afya

Binafsi nimeona kama kuna vita ya kiuchumi ndani ya vita ya corona na mabeberu wanaona waibu kwa kuwa tumepigana vita vyema na kushinda mapema tu ,hawaaamini yulivyo mmaliza corona mapema na ndio maana wanawatumia kina zito makuwadi wa mabeberu kutuchafua na Kuwaita wanaharakati

Kitendo cha kuona habari hii inapewa kipaumbele kama habari ya pili kwa ukubwa baada ya ile ya Hong Kong na kuoneshwa kila baada ya nusu saa wakati duniani kuna habari kubwa linatia wasiwasi kuhusu azma ya kutuchafua.

Sisi sio nchi ya kwanza kuruhusu watu waende beaches kuna USA. Spain, Qatar penyewe ambako watu wanakula bata

OMBI KWA SERIKALI

wamwite mwanahabari Malcolm Webb na kumuhoji kama walivyomuhoji kaimu barozi wa USA hapa nchini au wazuie aljazeera kufanya kazi hapa nchini

USSR
......Cry me a river !!
 
Acha ukuda hebu nenda hizo hospital ukashuhudie acheni siasa za kipumbavu huku ndugu zetu wakiangamie.

Hivi balozi wa marekani akiomba nchini kwao vipimo apime watanzania laki moja tu mahospitalini atapata hesabu gani? Wadhani nchi yetu kuacha kutoa taarifa wamependa?
 
Nani ameangamia

Mkuu unajua vita vya kiuchumi? Kama umeshindwa kuweka lockdown nchi kwa sababu ya uchumi mbovu wa nchi na watu je utaweza vita vya uchumi?

Au kwa sababu mmeona jiwe anaimba jukwaani vita vya uchumi basi na nyie vibaraka wa lumumba mka kariri bila kujua maana yake?

Hata kama ni ushabiki, basi usizidi mpaka uonekane kituko mbele ya watu.
Wanaowanyoshea vidole Kama mabeberu ndio wanaenda kuwakopa hii wanayoita Vita ya uchumi ni propaganda maana kiukweli hi serikali ilianza kupoteza watu kwa kuwateka na kuwauwa wengine Sasa wanadhani niwote watawaombea mema ? Hebu fikiria ukoo wa Ben unaiombea mema hii gvt acheni kujidanganya mmechimba shimo lenu ni swala la muda mtatumbukia wenyewe labda muuwe na kuteka nchi nzima.
 
Back
Top Bottom