Vita ya Arumeru ni ngumu kwa CCM kuliko ilivyokuwa IGUNGA: Chadema tujipange

Mtu mwenye akili timamu huwezi kudhalilisha marehemu kwa lengo la kutafuta sifa mtandaoni.

Unafufua machungu yasiyo ya lazima kwa ndugu zake.

Sikujua uwezo wa kufikiri wa Crashwise uko chini kiasi hiki.

Hata hivyo bado hajachelewa, atakuwa amemtendea haki marehemu na ndugu zake iwapo ata-edit na kuiondoa hii picha.
Kwa akili yako yupi mbaya aliyeua au anayebandika picha kwa kuonyesha ukweli.
 
Hawa jamaa wameisha sera aisee! Hivi mtu akiweka picha ya maiti ya Chacha Wangwe humu Jamvini akasema kauliwa na Chadema itakuwa sahihi?
Wangwe si aliuwawa na CCM. Ndiyo maana yule dereva wake baadaye alipata msamaha wa rais. Dont be so silly while we in the security we know everything happenning in this country. We opt to keep quite due to national security reasons. Chadema tunaomba muendelee kutetea watanzania.
 
Duh, inaumiza sana...nampenda Che guevara kuna mahali aliwaambia watawala, 'u want to kill me? Kill me u'll have killed a man''... As regards to the issue at hand, huyo mtu aliuliwa nafsi yake but his soul lives forever, and it is through his blood that others are going to be redeemed, and ofcourse, Tanzania is going to be redeemed...Tangulia kamanda, wewe mbele sisi nyuma yako...
 
umefanya vema kutukumbusha maana manyumbu wasio na akili wauaji wa ccm. na walaaniwe, kwa kufanya mauaji kwa wasio na hatia. lakini ipo siku hii ndo itakuwa hukumu yao. na damu ya wasio na hatia itawafuata kokote waendako. mashetani makubwa hao.
 
Back
Top Bottom