Vita ya Afghanistan

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
610
733
Kuhusu vita ya US na nchi za Magharibi dhidi ya Waislam wa Afghanistan, Ukweli ni huu. Siri ambayo haiwekwi wazi leo naiweka wazi.

Haikuwa vita ya ugaidi au ya kuwa US wanawapenda Sana wa Afghanistan au wanataka demokradia. Ilikua ni vita ya kibiashara. Biashara yenye faida kubwa kuliko mafuta.

Vita ilikua ni kuhodhi biashara ya opium, zao kubwa na linalomea vizuri Afghanistan kuliko kwengine kokote duniani, iwe chini ya nchi za Kimagharibi.

Zao Hilo la opium Linatumika Sana kihalali wa kufanya madawa yote ya hospitali yanayohusika na ganzi za kuondoa maumivu mwilini na madawa mengi mengineyo.

Likitumiwa vibaya kama madawa ya julevya ndio linafanya zao hilo kuwa haramu. Linapotumika na kusafirisha kiharamu ndio zao Hilo linakuwa la faida kubwa sana kupita zao lingine lolote duniani.

Zao Hilo kihalali lina faida ya mabilioni ya dollars Kwa mwaka na kiharamu faida inapanda mpaka kuwa mara kumi au zaidi.

Vita yote ilikuwa ni utajiri huo mkubwa unaohodhiwa 💯 (asilimia Mia moja) na Waislam.

Taliban waliposhika madaraka baada ya kumng'oa Mrusi (ambao nao nia yao ya kuivamia Afghanistan ilikua ni hiyo hiyo ya kuhodhi zao hilo). US iliiunda na kuwasaidia Taliban kumng'oa Mrusi. Tujiulize kwa faida ipi? Jibu ni sahali sana, Lengo lilikuwa ni kuhodhi zao la opium.

Mayarajio yao US hayakufanikiwa kwani Taliban, Kwa Imani Yao ya Kiislam iliposhika madaraka iliweka vizuizi vya kuuza zao hilo kiharamu.

US ndipo walipoanza vituko vya iuwagombanisha wenyewe kwa wenyewe wa Afghan (divide and conquer). Waliposhindwa Kwa Hilo ikajitokeza fursa ya September 11. Wakaitumia hiyo kama sababu ya uongo ili waivamie Afghanistan wawatoe Taliban wahodhi zao Hilo. Matokeo mnayafahamu.

Baada ya miaka 20 na baada ya sehemu kubwa inaposhamiri zao hilo kuhodhiwa na Taliban, US hawakuwa na sababu tena ya kuendelea kuwepo Afghanistan. Wakazusha (create) majafiliano ya Amani na Taliban. Matokeo ya hi karibuni tunayajua.

Taliban wa kweli, Raia wapenda Amani wa US na Magharibi, Waislam wote duniani na wadio Waislam wapenda amani na wa Afghanistan, wenye mali yao, wakae kwa umakini sana. Uongozi wa US lazima wana dili (deal) walilokubaliana na uongozi wa sasa wa Afghanistan wa namna fulani ya kuhodhi au kununua asilimia kadhaa ya zao hilo. Si rahisi wala haiingii akilini kwa Wamagharibi kuachia tu utajiri wote hui serikali ya vibaraka wao wang'oke ghafla moja.

Hilo ni wazo langu binafsi baada ya kufatilis Sana vyanzo vya habari na kuwaza, kwanini?

Abdul Ghafur 0635249605.
 
kazi kwako, nimekutupia.
 
Acha propaganda hizo dunia hii nguvu kubwa ni mtaji nasio bidhaa,USA kucontrol opium wangeweza kwa nguvu ya mtaji nasio hicho unachodai wewe.

Duniani kuna Siri kubwa ila sio hizi mnazoaminishana hapa
Point kubwa na za maana sana umeongea hapa. Tafadhali naomba sana uongeze nyama kwenye maneno yako haya "Duniani kuna Siri kubwa ila sio hizi mnazoaminishana hapa"
 
Acha propaganda hizo dunia hii nguvu kubwa ni mtaji nasio bidhaa,USA kucontrol opium wangeweza kwa nguvu ya mtaji nasio hicho unachodai wewe.

Duniani kuna Siri kubwa ila sio hizi mnazoaminishana hapa
Viongozi wa dini hawaongei uwongo, wee unabisha nini wakati hata hukuwepo wakati mteule wa Mungu anatusimulia mambo ya rohoni sana ya siri kubwa na nzito za USA vs Afghanistan
 
Sasa hivi hakuna kunyoa ndevu au kupiga muziki kwenye saloon.
Atakayekutwa amefanya hivyo, hatua kali zitachukuliwa.
Kuna nchi ngumu sana kuishi. Imani zingine ni bora zisiwepo kbsa.
Watu wanafunga mifugo wale nyama na kunywa maziwa. Unafuga ndevu, zitakusaidia nini? Ujinga ni mzigo
 
Nilichogundua watu wengi wanaathirika sana na udini .. Watu hawaoni hoja ya mtu bali wanaona dini yake! Shame!
 
USA ni wadhurumati sana,walimtoa Saddam Iraq na Kadaf Libya kwa hila ili wachote mafuta ya bure,nfano Libya waliingia na gia ya Democrasia,sasa walipomtoa Kadaf hapo Libya Democrasia imeaongezeka au wameleta mateso ya wanainchi?,Mmarekani wa ovyo sana linapotokea swala la maslahi

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi hakuna kunyoa ndevu au kupiga muziki kwenye saloon.
Atakayekutwa amefanya hivyo, hatua kali zitachukuliwa.
Kuna nchi ngumu sana kuishi. Imani zingine ni bora zisiwepo kbsa.
Watu wanafunga mifugo wale nyama na kunywa maziwa. Unafuga ndevu, zitakusaidia nini? Ujinga ni mzigo
Wanafata maandiko haya:

5 Wasijifanyie upaa kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala wasichanje chale katika miili yao.
6 Watakuwa watakatifu kwa Mungu wao, wala wasilinajisi jina la Mungu wao; kwa kuwa wao ndio wasongezao sadaka za Bwana kwa njia ya moto, chakula cha Mungu wao; kwa ajili ya hayo watakuwa watakatifu.
 
Hayo maandiko ni kwa ajili ya baadhi tu ya watu au wote. Kaka yangu ni Ustadhi lakini ananyoa ndevu fresh tu.
 
Wanafata maandiko haya:

5 Wasijifanyie upaa kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala wasichanje chale katika miili yao.
6 Watakuwa watakatifu kwa Mungu wao, wala wasilinajisi jina la Mungu wao; kwa kuwa wao ndio wasongezao sadaka za Bwana kwa njia ya moto, chakula cha Mungu wao; kwa ajili ya hayo watakuwa watakatifu.
Nani alikua akiyazungumza haya?
Nani alipewa ujumbe huu na ili akawape watu wa aina gani?
 
Back
Top Bottom