Mswahilina
Senior Member
- Apr 7, 2008
- 171
- 17
Wadau, nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa kuwa: Ni kwa nini Tanzania Iliivamia Uganda na kuikalia 1978/79 lakini Jumuiya ya Kimataifa ikakaa kimya, Bali Iraq ilivyo ivamia Kuwait mwanzoni mwa miaka ya '90s Jumuiya ya kimataifa Ikiongozwa na Marekani iliingilia kati?