Vita vya Syria: Wanajeshi wa Uturuki 33 wauawa katika mashambulio Idlib. Uturuki yatuma Maelfu ya Wanajeshi Syria

Uturuki itadundwa kweli kweli na majeshi ya Syria wakisaidiwa airforce ya Urusi,kwa nini Rais wa Uturuki anagangania kutaka ku-annex sehemu ya aridhi ya Syria, nia hasa anaunga mkono siasa za Trump na Pompeo za kutaka kumpidua Asaad - Rais wa Uturuki kigeu geu sana.
Kilichomkuta Syria sasa ivi ndo kinachomkuta Libya.juzi base yake imepigwa na ndege zisizojulikana zimetokea maeneo gani
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom