Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

kwa nilivyoelewa kuhusiana na suala la kusaidiwa na msumbiji, ni kwamba kabla ya vita palikua na wanajeshi wa tanzania nchini msumbiji so vita ilipoanza ikabidi warudi... sasa basi wenda kitenfo cha wao kurudi wengine wakadhani ni wanajeshi wa msumbiji wanakuja kutupa msaada.

tujiulize inspotokea majeshi yetu yanaenda kulinda amani huwa wanaenda wanajeshi tupu makamanda watawakuta huko huko au uwa wanaonfoka na makamanda wao?

Mwl Kichuguu ajibiwe Majina ya makamanda waliokuja na wanajeshi wa msumbiji kama hizo source hazijawaandika basi, mwlm yupo sahihi!
Mkuu hapa hapa na mimi nina swali je, hao askari waliorudi hawakuwa na makamanda wao?? Tuambiwe ni Wapi...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa hapa na mimi nina swali je, hao askari waliorudi hawakuwa na makamanda wao?? Tuambiwe ni Wapi...??

Sent using Jamii Forums mobile app

Makamanda wetu wote wa vita ile wanajulikana na walipewa Nishani za Kagera; yaani kama wewe hujawahi kusikia makamanda na wapiganaji waliopewa Nishani za Kagera, basi huu mjadala utakuwa uko juu sana kwako kufuatilia. Ukipitia rekodi za jeshi la msumbiji hakuna mwenye Nishani ya Kagera hata mmoja.
 
Sisi unatuona ni vichwa maji kwa sababu mzigo wa mwenzako kwako unaona ni ganda la usufi. Athari ya uvamizi tunayo sisi Wazanzibari tunamwelewa Laanatullahi Nyerere vizuri
Huyu ndugu analalamika kuhusu vita vya Uganda,lakini mimi namwona kwa namna tofauti.
Wazanzibari wamechoka kunyanyaswa,wamechoka kuonewa,wamechoka kutawaliwa na Watanganyika.
Huyu yuko nyuma ya mambo ya dini,lakini ni ukweli ulio wazi kwamba hawa jamaa wanaumia.
Leo hii kuna masheikh wao zaidi ya mia wako ndani,wengine ni wagonjwa,wanateseka,wanadhalilishwa,kesi yao haileweki itakwisha lini...nk.
Jamani,hawa nao ni watanzania,wana haki ya kusikilizwa,wana haki ya kuishi kwa furaha na amani ktk nchi yao,tuwasikilize.

Kulikuwa na mchakato wa kuandika katiba mpya,katiba ya wananchi siyo ya wanasiasa,tumekwama wapi kujipatia katiba yetu nzuri sisi watanzania?
 
umeanza UDINI tena???waangalieni ndugu zenu huko mashariki ya kati wote waarabu wote waislamu lakini bado wanachinjana mpaka leo!!!
Nyani haoni....huko DRC South Sudani, Burundi,Rwanda nk hawako waislam wala waarabu ni weusi na wakristo wenzetu....ubaguzi haulipi.
 
Huyu ndugu analalamika kuhusu vita vya Uganda,lakini mimi namwona kwa namna tofauti.
Wazanzibari wamechoka kunyanyaswa,wamechoka kuonewa,wamechoka kutawaliwa na Watanganyika.
Huyu yuko nyuma ya mambo ya dini,lakini ni ukweli ulio wazi kwamba hawa jamaa wanaumia.
Leo hii kuna masheikh wao zaidi ya mia wako ndani,wengine ni wagonjwa,wanateseka,wanadhalilishwa,kesi yao haileweki itakwisha lini...nk.
Jamani,hawa nao ni watanzania,wana haki ya kusikilizwa,wana haki ya kuishi kwa furaha na amani ktk nchi yao,tuwasikilize.

Kulikuwa na mchakato wa kuandika katiba mpya,katiba ya wananchi siyo ya wanasiasa,tumekwama wapi kujipatia katiba yetu nzuri sisi watanzania?
Tatizo lenu wazenji hamna ushirikiano OVER
 
Hawakukatiza mkuu, ni kwamba majeshi ya Tanzania yalitembeza kichapo kwa Idd Amin, wakaingia hadi kaskazini na magharibi mwa nchi ya Uganda, wakafika kwenye mipaka ya Uganda na Zaire(DRC), mipaka ya Uganda na Sudan. Mji wa Arua uliopo kaskazini mwa Uganda ndio kipo kijiji cha Koboko, kijiji alichozaliwa Idd Amin Dada

Waliingia huko wakiwa na mzuka wa mapambano. Amin akasalimu amri, akakimbia Uganda na kuacha majeshi ya Tanzania(Wakombozi) yakiikamata Uganda
Inaitwa cowhorn's war tactic,,unapopambana na adui mnazunguka pande zote halafu mnaanza kumpiga kila atakapokimbilia anakutana na kichapo.Kuna mzee mmoja amestaafu jeshini aliniambia hata Amin wangeweza kumkamata ila walimwachia aondoke kwani kama wangelimkamata hali ya pale jijini kampala ingechafuka zaidi.
 
Hiyo uliyoquote imeshaletwa hapa na tumeishaijadili; aliyeiandika hajui alichokuwa anaandika. Tanzania ilikuwa na batallion mbili kule Msumbiji ambazo siyo tu silisaidia katika vita ya Uhuru wa Msumbiji bali pia ndizo zilikuwa zinafundisha jeshi la Msumbiji baada ya uhuru; ndiyo maana mpaka leo bado jeshi letu linatoa amedali za Msumbiji kwa askari wake. Angalia nishani hizi:
View attachment 1495005
View attachment 1495006
View attachment 1495007

..nishani anazozitoa JK hapo ktk picha ni za "operation safisha."

..kwa uelewa wangu operation hiyo ilikuwa ni miaka ya 80 wakati wa utawala wa Raisi Ali Hassan Mwinyi.

..hali ya kiusalama ya Msumbiji ilikuwa tete sana baada ya kufariki Raisi Samora Machel.

..Tanzania ililazimika kupeleka askari kusaidiana na majeshi ya Msumbiji, na Zimbabwe, kupambana na magaidi wa Renamo.

.."operation safisha " iliongozwa na Brigadier.Hassan Ngwilizi ambaye baadae alikuja kuwa Waziri ktk awamu ya Mzee Mkapa[ r.i.p].

..askari waliofariki ktk operation hiyo walizikwa Msumbiji, lakini baadae miili yao ilirejeshwa Tanzania na kuzikwa ktk makaburi ya Naliendele, Mtwara.

NB:

..kuna mwanaJF aliweka tangazo lake kuwa anauza kitabu cha operation ya makomando wa Kitanzania kwenda kuokoa askari wetu waliokuwa wametekwa Msumbiji. Nimekuwa nikiitafuta post hiyo sijaiona.
 
Kuna sehemu ya ukweli katika post hii; kuwa hata wale marafiki zangu Colonel Justin Marwa naye aliepewa tuzo siku hiyo na Kikwete wakati hakuwa kwenye vita za ukombozi wa msumbiji bali alishiriki katika kuleta amani Msumbij; hiyo ni kweli. Lakini kabla ya hapo walikuwa wanapewa tuzo za ushujuaa na nishani za utumishi uliotukuka ndizo zililikuwa zinatolewa kwa wote waliopigana Msumbiji na Zimbabwe, ila baadaye ziatokea nishani za Zimbabwe tu. Kila medal maandishi yake yalikuwa yanaonesha ni kwa nini anapata medal hiyo, na hapo ndipo unapokuta mchango wao wa Msumbiji au Zimbabwe. Mimi kamanda wangu mmoja liipata hiyo ya Msumbiji ingawa alifariki muda mfupi wa kupata nishani hiyo kutokana na ukimwi. Baadhi waliozipata ni pamoja na Brigedia Hashim Mbita ingawa hakuwahi kupiganisha vita yoyote.
 
Kuna sehemu ya ukweli katika post hii; kuwa hata wale marafiki zangu Colonel Justin Marwa naye aliepewa tuzo siku hiyo na Kikwete wakati hakuwa kwenye vita za ukombozi wa msumbiji bali alishiriki katika kuleta amani Msumbij; hiyo ni kweli. Lakini kabla ya hapo walikuwa wanapewa tuzo za ushujuaa na nishani za utumishi uliotukuka ndizo zililikuwa zinatolewa kwa wote waliopigana Msumbiji na Zimbabwe, ila baadaye ziakokeya nishani za Zimbabwe tu. Kila medal maandishi yake yalikuwa yanaonesha ni kwa nini anapata medal hiyo, na hapo ndipo unapokuta mchango wao wa Msumbiji au Zimbabwe. Mimi kamanda wangu mmoja liipata hiyo ya msumbiji inagawa alifariki muda mfupi wa kupata nishani hiyo kutokana na ukimwi. Baadhi waliozipata ni pamoja na Brigedia Hashim Mbita ingawa hakuwahi kupiganisha vita.

..Asante.

..sikujua kama kulikuwa na nishani za Zimbabwe pia.
 
..Asante.

..sikujua kama kulikuwa na nishani za Zimbabwe pia.
Nadhani wakati serikali inaanza utaratibu wa kustreamline utoaji wa nishani hizi, wale wapiganaji walioshiriki Msumbiji wote walishapta nishani zao za ushujaa na walishastaafu jeshi; ndiyo maana huzioni distinctly.
 
Tactician mkubwa wa JWTZ alikuwa ni Kanali Kitete (Siyo Lupogo) kabla hajawa Brigadier. Jamaa yule anajua kupanga vita siyo mchezo, sijui kama bado JWTZ leo hii ina tacticians kama yeye. Jamaa alichambua kuwa Amini alikuwa ameweka ulinzi mkubwa sana directly kwenye mpaka wa Tanzania (backed by heavily Mechanized Simba Batallion), ila hakuwa na ulinzi kule Magharibi kwa nsababu alikuwa na uhusiano mzuri sana na Mobutu wakati huo (mpaka leo Kampala kuna mtaa una jina la Mobutu liliowekwa na Amini). Kamanda akachambua ramani na kuweka mkakati uliomfuta Amin kwenye ramani kwa kutokea Magharibi ya Uganda.

Kwenye video hii hapa chini huwa napenda sana kile kipande kuanzia 1:04 hadi 1:34 kinachoonyesha makamanda wetu shujaa.

Wabhejah sana! Ubarikiwe kwa Video na elimu ya upande wa pili wa hii vita!

Nimeona hao kina Imran Kombe kumbe walikua vijana wadogo kabisa?!? Pongezi nyingi sana Kwao na Pole zaidi kwa wote! Muumba awalipe zaidi na zaidi kwa mujibu wa mapenzi yake,Ameen!

Ila

Siasa bwana, eti; “Mbele ya Amiri jeshi mkuu Rais wa JMT, “””Viongozi wa Chama na Serikali”””! .”

Hivi kumbe siku zote ni Chama kwanza Serikali baadae eeh?!

Ahsante babu.
 
Hiyo ya Lule kuwa Muslim siyo kweli; alikuwa muanglikana. Jamaa yule naye alikuwa na sifa nyingine ya ufuska sana ingawa hii inafichwa mno; ukitaka kujua zaidi kuhusu maisha ya Lule wasiliana na binti yake Liliane Waldner aliyezaliwa nje ya ndoa na mama wa kiswiss. Hata mke wake aliyefunga naye ndoa rasmi alikuwa ni mwanafunzi wake wakati yeye akiwa mwalimu na kuna sababu iliyopelekea wafunge ndoa officially kusudi isilete songombingo. Kuna vitu vingine havifai kuandikwa kuhusu watu waliokiwsha tangulia mbele ya haki kwa vile hawawezi kujitetea tena.

Babu,
Napendekeza hii ya kuficha Siri za marehemu tuiache maana inachangia sana kwa wale wasioelewa kupita mulemule walipopita na kusababisha maafa waliotangulia!!

Binaadam hujifunza kutokana na makosa! Ndio maumbile yetu!
 
Ongezea tena na tetemeko la Kagera juzi Septemba 10, 2016 lilimaliza watu na kuacha mitaro mikubwa kwenye ardhi! Sasa hivi tena ziwa Victoria limefurika na kumeza sehemu kubwa ya makazi ya watu wa Bukoba mjini. Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo awalinde sana hawa watu!

Nina Imani kuna sababu ya dhati kabisa kwanini wanayapitia hayo!! Muumba wa vyote awatimilizie yaliyo ya haki!

Sorry nje Umayyad mada kiduchu, hivi ‘wamisionari’ walianzia wapi kimafanikio walipofika kwenye Ardhi yetu?
 
Back
Top Bottom