Vita vikubwa vya Badri, Jeshi la Waislamu. Ilikuwa siku ya Ijumaa mwezi wa Ramadhani 13th March/624 A.D

Shi'a ,shi'a ,shi'a 😂😂😂 umejizuia sana kutowatukana hap uliowaita "shakhayn" 😂😂 mkuu ipo hivi hata muwachukie , muwatusi, muwaite majina yasiyo faa na kuwapakazia uongo chungu nzima hao watabaki kuwa maswahaba wa mtume muhammad (swalallah a'layhi wasallam) .

Mtu aliyeelezewa kwa uzuri na Allah(The All powerful) bila kutajwa jina kwenye quran (darja kubwa sana hiyo kama haujui ) leo hii unamtusi 😂😂😂 .
 
Back
Top Bottom