Vita vikizuka leo na nchi jirani watanzania tutasimama kama wakati wa Idd Amin?

shilanona

Member
Oct 31, 2010
55
22
Najiuliza sana kuhusu suala la ubabaishaji unaoendelea kwenye nchi yetu ya Tanzania. Naona mambo hayaendi sawa, huku viongozi wetu wakikabiliwa na kashfa mbalimbali, mikataba mbalimbali hewa, uchumi kudidimia na wananchi kutumbukia kwenye winbi la umaskini na mambo mengine chungu nzima. Hivi kweli nchi yetu ikiingia vitani leo na amiri jeshi wetu Mheshimiwa Kikwete tutaweza kweli kukabiliana na nchi yoyote hapo jirani na kwetu. Kwa mfano Malawi iseme ziwa Nyasa ni lao, na hakuna Wabongo kuvua samaki humo, au Wilaya ya Ngara itekwe na Rwanda au Mlima Kilimanjaro utekwe na Kenya hivi na ubabaishaji unaondelea tutaweza?
 
vita vikianza najiunga na rivals nawaonesha mafisadi ili wafundishwe adabu.Its better nitawaliwe na P.Kagame kuliko JK
 
Najiuliza sana kuhusu suala la ubabaishaji unaoendelea kwenye nchi yetu ya Tanzania. Naona mambo hayaendi sawa, huku viongozi wetu wakikabiliwa na kashfa mbalimbali, mikataba mbalimbali hewa, uchumi kudidimia na wananchi kutumbukia kwenye winbi la umaskini na mambo mengine chungu nzima. Hivi kweli nchi yetu ikiingia vitani leo na amiri jeshi wetu Mheshimiwa Kikwete tutaweza kweli kukabiliana na nchi yoyote hapo jirani na kwetu. Kwa mfano Malawi iseme ziwa Nyasa ni lao, na hakuna Wabongo kuvua samaki humo, au Wilaya ya Ngara itekwe na Rwanda au Mlima Kilimanjaro utekwe na Kenya hivi na ubabaishaji unaondelea tutaweza?

tutapambana kiume. mi nilidhani vita ya sisi kwa sisi. ingekuwa yetu wenyewe, ningeshukuru kwani ukombozi wa nchi yetu ungekamilika. mafisadi wote tutaua na tutasimamisha katiba mpya na sheria mpya zenye uwezo wa kuwazuia watu kutumia utajiri wa taifa kwa maslahi binafisi kama hawa akina shimbo walioko majeshini waliokutwa na tririon 3 kwenye akaunti zao.

TUNGEWANYONGA HAO, TENA IJE, KWANI TUKIUANA NDIPO MAENDELEO YA WATU NA NCHI YATAKUWEPO
 
vita vikianza najiunga na rivals nawaonesha mafisadi ili wafundishwe adabu.its better nitawaliwe na p.kagame kuliko jk

kuna ukweli kidogo, kwani baada ya wao kupigana, paul kagame alisimama akaisogeza nchi yake mbele. Kwa sasa wanatushinda uchumi na misha ya raia kwao ni salama zaidi.

Kagame kashindwa moja tu, kuleta democrasia. Akiendelea hivyo yaliyomkuta gadaf yatampata. Atoe nafasi kwa wnyarwanda wengine kuongoza, ataeshimika sana.
 
Demokrasia? Niko tayari kutawaliwa na Hitler kama tumbo langu haliungurumi! Demokrasia ni baada ya shibe. Tanzania hakuna demokrasia wala shibe, utachagua nini?
 
Najiuliza sana kuhusu suala la ubabaishaji unaoendelea kwenye nchi yetu ya Tanzania. Naona mambo hayaendi sawa, huku viongozi wetu wakikabiliwa na kashfa mbalimbali, mikataba mbalimbali hewa, uchumi kudidimia na wananchi kutumbukia kwenye winbi la umaskini na mambo mengine chungu nzima. Hivi kweli nchi yetu ikiingia vitani leo na amiri jeshi wetu Mheshimiwa Kikwete tutaweza kweli kukabiliana na nchi yoyote hapo jirani na kwetu. Kwa mfano Malawi iseme ziwa Nyasa ni lao, na hakuna Wabongo kuvua samaki humo, au Wilaya ya Ngara itekwe na Rwanda au Mlima Kilimanjaro utekwe na Kenya hivi na ubabaishaji unaondelea tutaweza?

Una mpango wa kuziishawishi hizo nchi zianzishe vita na Tanzania?
 
Me ctajisumbua kupambana as cjawah kufaidika na chochote toka ndani ya hii nchi na wala cna cha kupoteza.kazi itakua kwa kina jk,riz 1,ra,chenge nk kushka hyo mitutu.
 
Vita vikianza mi nitakuwa wa kwanza kutorokea nje ya nchi. Vikiisha narudi. Yaani nchi waifaidi kina Riz1 halafu mimi ndio wanitume front line? Waende wenyewe kupigana.
 
Kipindi tunapigana vita na nduli Iddi Amin, Tulishinda vita ile si kama tulikuwa na silaha nzito au jeshi lenye mafunzo na mbinu kali la hasha, ni mwamko wa watanzania na uzalendo kwa nchi yao, watu walikuwa na hali na morali wa kupambana na mvamizi nduli Iddi Amini.

Alikuwa baba wa taifa akiongea na makamanda, pamoja na wapiganaji nawapa hali na mtu unajiona tayari umeshashinda vita, hakuna kukata tamaa ni bora kufa kishujaa kwa ajili ya nchi yako.

Sasa hivi asimame baba Riz1 atangaze watu waingia vitaniii. thubutuu! hata hao wakwe zake watagoma, nchi afaidi yeye na familia yake. na mafisadi ccm, eti tufe watanzania kwa ajili ya nchi hii, NEVER.
 
Kwanza me vita ikianza ntakua upande wa maadui,ili niwape raman za kuwakil mafisad wote akianza na huyo jk.
 
mmh! sijui watatangulia kina nani mana naona vyombo vyote vipo kimaslahi zaidi mi sioni uzalendo sikuhizi. wakati wetu labda
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom