"Vita Uchwara "

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Kwa kuzingatia Uhuru wangu Wa kikatiba......! Hii kitu sikujua mlengo wake haswa nini, toka nianze kukua sijawahi kuona kesi au watuhumiwa wakitangazwa bila kukutwa na hatia na kisha wasipokutwa na hatia basi wanaachwa wakiwa wachafu mbele ya jamii bila kua na hatua zozote......! Nafanananisha vita hivi na vita vya kwenye [HASHTAG]#BwawaLaMatope[/HASHTAG]......!

Kutangaza vita ni jambo moja ila kuingia vitani ni jambo lingine na lakini kigumu Zaidi ni kutekeleza mbinu za kivita.....!

Hili suala limewaacha wanajamii midomo wazi na kufikia hatua kuona vita hivi ni [HASHTAG]#VitaUchwara[/HASHTAG]....! Athari kubwa inakuja mbeleni, kuna mawili, walotajwa kuonekana wachafu mbele ya jamii au serikali kudharauliwa na jamii.....!

Nafikiri ingekua busara saana kama watuhumiwa wangetafutwa kimya kimya kisha wakipatikana na [HASHTAG]#Hatia[/HASHTAG] ndipo jamii na kadamnasi ijulishwe lakini sio kwa njia hii....!

Napinga kwa nguvu matumizi ya vilevi hivi na naunga mkono vita hivi ila siungi mkono mbinu zilizotumika, hii ilikua inawatoa watuhumiwa nje ya mkono wa sheria....!

Suala la @paulmakonda na Siro kushtakiwa nililitegemea saana...! Wenzao wametii sheria Nawao wasizikimbie office zao Wa ende mahakamani sheria msumeno.

[HASHTAG]#NaipendaTanzaniaYangu[/HASHTAG]

b4668f0cf17a66b0fa76a2f1ca3eb8bd.jpg
 
Mkuu tule tu vitumbua basi maisha yaende lakini sidhani kama haya tunayoyaongea yanaweza kupata muafaka kwa awamu hii...haingaliwi sheria mkuu..utaumia na utapata predha bure!
 
Kwa kuzingatia Uhuru wangu Wa kikatiba......! Hii kitu sikujua mlengo wake haswa nini, toka nianze kukua sijawahi kuona kesi au watuhumiwa wakitangazwa bila kukutwa na hatia na kisha wasipokutwa na hatia basi wanaachwa wakiwa wachafu mbele ya jamii bila kua na hatua zozote......! Nafanananisha vita hivi na vita vya kwenye [HASHTAG]#BwawaLaMatope[/HASHTAG]......! Kutangaza vita ni jambo moja ila kuingia vitani ni jambo lingine na lakini kigumu Zaidi ni kutekeleza mbinu za kivita.....! Hili swala limewaacha wanajamii midomo wazi na kufikia hatua kuona vita hivi ni [HASHTAG]#VitaUchwara[/HASHTAG]....! Athari kubwa inakuja mbeleni, kuna mawili, walotajwa kuonekana wachafu mbele ya jamii au serikali kudharauliwa na jamii.....! Nafikiri ingekua busara saana kama watuhumiwa wangetafutwa kimya kimya kisha wakipatikana na [HASHTAG]#Hatia[/HASHTAG] ndipo jamii na kadamnasi ijulishwe lakini sio kwa njia hii....! Napinga kwa nguvu matumizi ya vilevi hivi na naunga mkono vita hivi ila siungi mkono mbinu zilizotumika, hii ilikua inawatoa watuhumiwa nje ya mkono wa sheria....! Suala la @paulmakonda na Siro kushtakiwa nililitegemea saana...! Wenzao wametii sheria Nawao wasizikimbie office zao Wa ende mahakamani sheria msumeno
[HASHTAG]#NaipendaTanzaniaYangu[/HASHTAG]

b4668f0cf17a66b0fa76a2f1ca3eb8bd.jpg

Kwa sasa majina yao yamebadilika kwa sasa ni Madereva na Zirro.Wametuaibisha sana watanzania,wametufanya watanzania wapumbavu hawa watu.

Ni bora uwe TEJA wa NGADA kuliko kuwa TEJA wa MADARAKA ni shida kabisa
 
Back
Top Bottom