Vita ni vita muraa

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,233
16,202
Huyu hataki urudiwe
Yule anataka warudie
Huyu anataka matokeo ya awali yaendelee kutangazwa huyu hataki
Sasa uchaguzi ukifanyika sijui huyu asie taka atafanya nini??
Uwiiiii mi sipoooo
Vita ni vitaaa muraaaaaa
Nyasi ndio zinataaabika tu mafahali wawili wasipoelewana
 
Back
Top Bottom