Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,554
- 12,674
Aisee wabongo bhanaIsrael Ni Masikini Zaidi Ya Tanzania. Hivyo Vita Aliekuwa Anapigana Ni Marekani
Kweli mkuu muda mfupi sana. Halafu mataifa 6 yaliyojisheheni kwa silaha lukuki yakitandikwa barabara!Masaa 38 na dakika 45
Hiyo ndio ilikuwa vita ya muda mchache kutokea duniani, na mpaka sasa bado inashikilia rekodi
Tuna la kujisifia pia hahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
you're wrong.... tafta hii Zanzibar vs England!!Masaa 38 na dakika 45
Hiyo ndio ilikuwa vita ya muda mchache kutokea duniani, na mpaka sasa bado inashikilia rekodi
Tuna la kujisifia pia hahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
unaniuliza au unanambia?Hiyo vita ilihusisha silaha na vifaa vyote vya kijeshi? Kama ndege za kivita, vifaru. Magari ya deraya n.k
Ndio hii naisema mkuuyou're wrong.... tafta hii Zanzibar vs England!!
Sorry nimechomekea tu hii ya ZanzibarKweli mkuu muda mfupi sana. Halafu mataifa 6 yaliyojisheheni kwa silaha lukuki yakitandikwa barabara!
Ikifuatiwa na vita ya 2014 kipindi ambacho urusi anajinyakulia crimeaMasaa 38 na dakika 45
Hiyo ndio ilikuwa vita ya muda mchache kutokea duniani, na mpaka sasa bado inashikilia rekodi
Tuna la kujisifia pia hahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Misri alijaribu kurudi tena akapewa za nguvu akaokoka zake mpaka leoHaha sikio la kufa hilo mkuu Richard
Israel was ranked the eighth most powerful country in the world, according to the US News and World Report's power ranking in 2019.Ukweli Ndio Huo Israel Ni Taifa Masikin 80% Ya Bajeti Yao Ni Misaada Kutoka Marekan
Israel was ranked the eighth most powerful country in the world, according to the US News and World Report's power ranking in 2019.Israel Ni Masikini Zaidi Ya Tanzania. Hivyo Vita Aliekuwa Anapigana Ni Marekani