Vita Ni Mahesabu Wala Si Wingi Wa Silaha :Hichi Kipigo Waarabu Hawatasahau Milele

Israel Ni Masikini Zaidi Ya Tanzania. Hivyo Vita Aliekuwa Anapigana Ni Marekani

Jiulize hili swali: Hadi 2017 Waisraeli walikuwa chini ya 0.2% ya wakazi wote wa dunia lakini kati ya wanasayansi 902 waliopata Nobel prize duniani 203 (22.5%) walikuwa Waisraeli. Bado unaamini Israel ni maskini? You must be joking.
 
Munawachukia sana waarabu na uislamu kwa ujumla, na badala yake munawapenda wanaomkana Yesu na kutoutambua ukristo... lakini tambueni kuwa Muslims population will continue to grow in Europe.hivyo endeleeni kuumia tu

Wewe mleta mada nlishakusoma unapenda sana choko choko, % kubwa ya mada zako ni zakishabiki na zimeegemea upande mmoja.udini unakusumbua sana mkuu

Soma hapa👇 na hili ndio lengo lenu, na hamtofanikiwa.
Lengo kuu la Wakristo kwa Waislamu ni kuwabadili Waislamu kutoka kwenye imani yao iliyo sahihi na kuwatukumbukiza kwenye ukafiri. (Rejea Qur’an 2:20) "Wala hawatakuwa radhi Wayahudi na Manaswara mpaka mfuate mila zao.
 
Munawachukia sana waarabu na uislamu kwa ujumla, na badala yake munawapenda wanaomkana Yesu na kutoutambua ukristo... lakini tambueni kuwa Muslims population will continue to grow in Europe.hivyo endeleeni kuumia tu

Wewe mleta mada nlishakusoma unapenda sana choko choko, % kubwa ya mada zako ni zakishabiki na zimeegemea upande mmoja.udini unakusumbua sana mkuu

Soma hapa na hili ndio lengo lenu, na hamtofanikiwa.
Lengo kuu la Wakristo kwa Waislamu ni kuwabadili Waislamu kutoka kwenye imani yao iliyo sahihi na kuwatukumbukiza kwenye ukafiri. (Rejea Qur’an 2:20) "Wala hawatakuwa radhi Wayahudi na Manaswara mpaka mfuate mila zao.
Hawatofanikiwa mpaka mwisho wa dunia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom