Vita na IRAN si ngoma ya kitoto

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,016
1,499
Asalam alaykum? Mahakama ya jamii ya Iran imetoa kibali cha kutaka rais Donald Trump wa Marekani akamatwe pamoja na washukiwa wengine waliopanga na kutekeleza mauaji ya General wa Iran Qassim Suleiman.

Pia wameiomba Interpol kutoa usaidizi wa kukamatwa kwa washukiwa wote akiwemo rais Trump kama mtuhumiwa namba moja, na kwamba suala hilo litatekelezwa hata pale atakapokuwa nje ya madaraka aliyokuwa nayo mpaka haki ipatikane.

Chanzo: BBC

( Nb: Meja General wa vikosi vya majini alishawahi kumuonya rais Trump kwa kumwambia"Uchokozi wowote ule hata kama ni mdogo hautaachwa bali tutakuandama,utapoteza kila ulichonacho;) sasa naona mambo yameanza tena kwake yeye binafsi na wala si Marekani kwa ujumla.
 
Sasa unapomgusa rais wa marekani iwe aliyopo madarakani au mstaafu unaigusa marekani moja kwa moja hivyo utakuwa ugomvi tena wa Iran dhid ya marekani
 
Sasa unapomgusa rais wa marekani iwe aliyopo madarakani au mstaafu unaigusa marekani moja kwa moja hivyo utakuwa ugomvi tena wa Iran dhid ya marekani
Ni kweli, ila anapokuwa nje ya uongozi anakua hana mamlaka ya kuamrisha chochote bali anategemea kulindwa kwa mujibu wa sheria.
 
MANENO YA MKOSAJI HAYA, KAUWAWA JENERALI WAO NILITEGEMEA WATAJIBU BADALA YAKE WANAKUJA NA HII COMEDY😂😂😂
 
Back
Top Bottom