Vita,mapinduzi na machafuko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita,mapinduzi na machafuko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BABA JUICE, Jun 28, 2011.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa nasikiliza bunge na kuna mbunge mmoja wa ccm akasema uchumi wa tanzania ni mzuri sana na kinachoaribu uchumi ni kwamba tupo wengi.....wengi?kwa nchi kama tanzania hata nusu ya nchi hii haijakaliwa leo mwanasiasa huyu bila wasiwasi anasema tupo wengi...uchumi wetu umeshikiliwa na watu wachache.....wanasema kila vita,mapinduzi au machafuko huja utawala mpya lakini kabla ya hapo huja fursa kwa wote.....siasa ni kwa wenye pesa...kilichobaki ni vita na mapinduzi ndio tutaikomboa nchi hii kutoka kwa wanyenyekezi wa magharibi.
   
 2. m

  mob JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  inaelekea ana point ila ameshindwa kuiwasilisha
   
 3. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wiser to understand.
   
Loading...