Vita kuu ya 3 ya dunia (jinsi itakavyokuwa)- Mwisho wa dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita kuu ya 3 ya dunia (jinsi itakavyokuwa)- Mwisho wa dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pape, Jan 21, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=5kKr18a7yhY[/ame]
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  natamani niwe nimekufa ili nisishuhudie mateso na majuto kati yetu, maana maangamizi yatakua yakukata nashoka, naogopa.
   
 3. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mbona tayari nchi ya haiti imeshayaoonja??? Hakuna mbaya kama ilivyotokea haiti na ile sunami mbona yote ni kama hayo
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  its all about doomsday....
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  mungu mwenyewe ndio anajua jamani kama kufa tutakufa tu tujipe moyo..
  zamani nilikuwa naogopa sana nikisikia kufa,lakini sasa mmh mambo hayakimbiliki haya
   
 6. bokilo

  bokilo Member

  #6
  Dec 7, 2015
  Joined: Nov 30, 2015
  Messages: 90
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 25
  Jiandaeni maana vita itaaza ndani ya masaa machache yajayo
   
Loading...