Vita kati ya Musiba vs Kangi Lugola na Makonda ni mkakati kabambe wa kututoa kwenye agenda kuu ya EBOLA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,420
Leo kuna twitts zinapepea hewani Musiba akidai kuwa Kangi Lugola na Paul Makonda wakishirikiana na Polisi wanauza unga haramu.

Huu ni mchezo wa hangaisha bwege, wanajaribu kututoa kwenye agenda kuu, kwamba Ebola iko nchini na tayari kuna watu wamesombwa.

Serikali iache kufichaficha mambo tena, pembe la ng'ombe halifichiki.

Watanzania sio wajinga tena
 
Kunachimbika
 
Attachments

  • IMG-20190916-WA0001.jpg
    IMG-20190916-WA0001.jpg
    57.6 KB · Views: 52
Leo kuna twitts zinapepea hewani Musiba akidai kuwa Kangi Lugola na Paul Makonda wakishirikiana na Polisi wanauza unga haramu.
Huu ni mchezo wa hangaisha bwege, wanajaribu kututoa kwenye agenda kuu, kwamba Ebola iko nchini na tayari kuna watu wamesombwa.
Serikali iache kufichaficha mambo tena, pembe la ng'ombe halifichiki.
Watanzania sio wajinga tena
Hapo umemfurahisha sana bwashee Salary slip wa Ufipa!
 
Leo kuna twitts zinapepea hewani Musiba akidai kuwa Kangi Lugola na Paul Makonda wakishirikiana na Polisi wanauza unga haramu.

Huu ni mchezo wa hangaisha bwege, wanajaribu kututoa kwenye agenda kuu, kwamba Ebola iko nchini na tayari kuna watu wamesombwa.

Serikali iache kufichaficha mambo tena, pembe la ng'ombe halifichiki.

Watanzania sio wajinga tena
Musiba amesema sio ID yake ni hoax hii taarifa peleka FB kwa Watoto wezako
 
Thibitisha kwamba hiyo akaunti ni ya musiba......

Thibitisha (sio habari za kusikia) kwamba Tanzania kuna wagonjwa wa ebola

Declare your interest wewe ni nani hadi useme haya?
Kwani Musiba hawezi kufungua fake account just for performing special task?
 
Back
Top Bottom