Vita hivi Puppet Masters Wajitokeze sasa. Tunawaona na kuwasikia Puppets tu.

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Somewhere between heaven and earth
That is where you will find real freedom
We've been waiting for so long for this freedom
When other freedom fighters
Fought of the rights of the people
You fought for the right to abuse people

ni baadhi ya maneno toka wimbo wa Lucky Dube. nami nikapenda leo hii tunapoendelea kufuatilia sakata hili la madawa ya kulevya tukumbuke maneno haya. katika jambo hili hatujawaona vinara halisi waona husika katika sakata hili kwa pande zote. tunawaona tu pupets wakirushiana maneno na kujitutumua kila mtu kwa nafasi yake. umewah jiuliza wanaopiga huu music ni akina nani? wanaochagu hizi nyimbo ni akina nani?

sisi tunawaona tu waimbaji na wanoitikia chorus. lakini mabwana wenyewe wametulia pembeni wakiwatumia watu wao waweze kuzungumza kwa niaba yao. sasa ifikie hatua wajitokeze wakuu wa sakata hili. kwa upande wowote husika. hatutak kuona hizi drama zikiendelea. hatujui nani ni nani kwenye hili igizo. ila mwisho wake tunaufaham. itakuwa historia ya ajabu kabisa na ya kusikitisha.

wakati wateteaji wa wananchi wa ukweli wanaposimama kutetea wananchi hawa maskini kuna ambao wamejitolea kupingana na watetezi hawa. when other freedom fighters are fighting for the right of the people. some people are fighting to abuse these people.

tunataka kuona askari wakisonga mbele katika mstari ulionyooka. pasipo kutolewa nje ya mstari. tunataka kuona vita ikipiganwa na wananchi wakishinda vita hivi kwa udhabiti wa moyo na nia ya kweli ili kufanikisha suala hili.
 
Msalimie Nikolai Tesla kwenye Avatar yako.

Hii vita tutaishinda lakini si kwa mbinu mufilisi za Makondakta na polisi wanaopokea amri tu bila kushauri wakuu wao mbinu zinazoeleweka.
 
Labda kama unatunga kitabu cha riwaya, vinginevyo ili ujumbe wako ufike kwa tafsiri sahihi huna haja ya kutumia lugha yenye kona nyingi
 
Vijibwa vya Santuri kubweka si lazima viamrishwe na mabwana zao kubweka, wakati mwingine sababu huwa ni kutaka tu kuonesha na vyenyewe vipo!! Wanaolengwa wanajulikana na walengaji pia wanajulikana!

Usituchoshe wala wewe mwenyewe usijichoshe!!
 
Back
Top Bottom