Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Boko haram na Alshabab ni wahuni wachache sana kama dunia ikaamua ni dakika tu watamalizwa lakini kuna kamchezo kanaendelea
Mkiwa misikitini mnawasifu akina Osama/magaidi lakini kwenye mijadala mnawaruka utasikia njama za wamerekani kwa hiyo imani yenu inatikiswa kirahisi hivyo?
 
Msikiti gani umesikia wanasifiwa magaidi
Hizo ni shutuma zako kwa sababu ya chuki ulionayo kwa waislamu ambayo sio kitu kizuri kuwa nacho haswa Karen ya sayansi na teknolojia
 
Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.

Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.

Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Hii vita ni kisingizio tu cha kudhulumu Waislamu ulimwenguni
Mkiwa misikitini mnawasifu akina Osama/magaidi lakini kwenye mijadala mnawaruka utasikia njama za wamerekani kwa hiyo imani yenu inatikiswa kirahisi hivyo?
Urongo huo
 
Msikiti gani umesikia wanasifiwa magaidi
Hizo ni shutuma zako kwa sababu ya chuki ulionayo kwa waislamu ambayo sio kitu kizuri kuwa nacho haswa Karen ya sayansi na teknolojia
Osama ni shujaa kwa Waislam wengi hapa Tz na nie ya Tz, hili unabisha pia?
 
Hata farao kuna watu wanampenda
Huyo Osama kama kweli alikua gaidi au la hamna uhakika
September 11 kuna wataalamu wa Kimarekani wanasema ilikua ni inside job
Jaribu kusoma makala ya September 11 conspiracy

Hakuwa Gaidi lakini alikuwa akiupigania Uislam, sasa ni kwa nini haukubali kuwa Waislam wanamuona shujaa? kwa nini wasimpende?
 
Sio waislamu wote wanampenda wala sio wakristo wote wanamchukia mfano kule Korea kaskazini kwa sababu ya uadui wao na Marekani wengi wanamuona kama shujaa
Hapa Tanzania pia kuna wakristo wanampenda Osama
Kwa hio hili ni jambo la mtazamo binafsi
 
Kupendwa au kuchukiwa kwa Osama hakufanyi uhalali wa kuua na wakashilikilia mahabusu kwa miaka Waislamu kwa madai ya urongo waambie na hilo
 
Sio waislamu wote wanampenda wala sio wakristo wote wanamchukia mfano kule Korea kaskazini kwa sababu ya uadui wao na Marekani wengi wanamuona kama shujaa
Hapa Tanzania pia kuna wakristo wanampenda Osama
Kwa hio hili ni jambo la mtazamo binafsi
Korea Kaskazini sio Wakristo
mbona hutaki kunielezea sbabu za Muislam kumchukia Osama?
 
ugaidi ni kitendo cha uhalifu sawa tu na ujambazi,
jambazi au muuwaji anaweza kuwa mfuasi wa dini yoyote ile lkn haimaanishi dini yake inaruhusu au kuridhia ukatili na uwaji.
kimsingi dini za imani yoyote ile zinakemea mauaji na ukatili kwa binaadamu wenzako lkn bado wapo watu wachache ni waovu bali na kutambua kuwa mafundisho ya dini yanakataza,
mpaka leo hii tunao wazinifu, makahaba, wezi, majambazi, magaidi n.k
tusipende kuhusisha imani za dini na matendo ya kihalifu, huko ni kuichafua imani ya mtu au watu.
 
Sasa inatakiwa wafuasi wa dini husika wakemee magaidi wasiihusiye dini yao na ugaidi hao magaidi wanatumia vifungu vya vitabu vya dini kufanya ugaidi hamuwakemei matokeo yake dini hiyo inaonekana inaruhusu ugaidi mkiambia mnalalamika dini ina kashfiwa acheni maneno na matendo yakinafiki kujionyesha mnaonewa na mnakashfiwa na nyie ni watu wa amani kiuhasia hamfanyi hivyo
 
Mbona Papa amefanya ziara Iraq na hajakemea ugaidi wa Amerika nchini Iraq na husemi kitu
 
Usiwaonee huruma hata kidogo.... Waarabu waliwatumikisha mabahu zetu kwa ukatiri wa kutisha kuliko hao wazungu wanachowafanyia......

Hebu tujionee huruma kwanza sisi miafrika kabla ya kuwaonea hao wasio na huruma hata kidogo na ww
 
Back
Top Bottom