Vita dhidi ya rushwa, uzembe kazini, kubana matumizi: Rais Magufuli asifiwa anga za kimataifa

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608

Taarifa imetoa maelezo ya kina juu ya utendaji mzuri wa Rais wetu tokea alipoingia madarakani.

Kapambana na ufisadi, rushwa, wafanyakazi hewa, wenye vyeti feki, uozo uliokuwa bandarini, matumizi mabaya ya ofisi za serikali, kabana matumizi ndani ya serikali mpaka siku ya sherehe za uhuru pesa yake akaagiza itumike kwenye maendeleo na hivyo bungeni pamoja na kukata pesa Kwa wabunge.

Rais amesifiwa ni kiongozi wa pekee katika bara la Afrika katika kupambana na ufisadi.
 
Anabana matumizi ili apate hela ya kununua wanaompinga na kufanya chaguzi zisizokuwa na tija!

Ngoja uone baada ya miaka 2 kuelekea 2020 watamuandikaje.
 
Taarifa imetoa maelezo ya kina juu ya utendaji mzuri wa Rais wetu tokea alipoingia madarakani .
Kapambana na ufisadi,rushwa ,wafanyakazi hewa ,wenye vyeti feki, uozo uliokuwa bandarini, matumizi mabaya ya ofisi za serikali,kabana matumizi ndani ya serikali mpaka siku ya sherehe za uhuru pesa yake akaagiza itumike kwenye maendeleo na hivyo bungeni pamoja na kukata pesa Kwa wabunge .
Rais amesifiwa ni kiongozi wa pekee katika bara la afrika katika kupambana na ufisadi

HAHAHA MMEENDA ZITAFUTA MPAKA UARABUNI
 
Vipi waliomsifia wanajua hii ya kununua wanasiasa na gharama kubwa za UCHAGUZI WA. MARUDIO??
 
Taarifa imetoa maelezo ya kina juu ya utendaji mzuri wa Rais wetu tokea alipoingia madarakani.

Kapambana na ufisadi, rushwa, wafanyakazi hewa, wenye vyeti feki, uozo uliokuwa bandarini, matumizi mabaya ya ofisi za serikali, kabana matumizi ndani ya serikali mpaka siku ya sherehe za uhuru pesa yake akaagiza itumike kwenye maendeleo na hivyo bungeni pamoja na kukata pesa Kwa wabunge.

Rais amesifiwa ni kiongozi wa pekee katika bara la Afrika katika kupambana na ufisadi.

njooni mpewe na nyie kilichobaki kwani kila kitu tumegawa gesi tumewapa wachina madini yote tumegawa sasa mkiendelea kusifia tutakachogundua sasa hivi tutawapa. Mtanzania ataendelea kula mlo mmoja kwa siku huku akishangilia CCM oiyeee
 
Waaafriiika bana au Arlfricaaaana whaat shithole countries. Kufanya wajibu na kutimiza ulicho apa kwa kutumia kitabu kitakatifu leo hii vyombo vya habari vikizungumzia kuwa kuwa kuna rais anatimiza wajibu huko africa ndi eti tunajisifu eti tunasifiwa anga za kimataifa. Pumbafuuuuu zako ulieleta hii mada ni aibuuuu
 
Taarifa imetoa maelezo ya kina juu ya utendaji mzuri wa Rais wetu tokea alipoingia madarakani.

Kapambana na ufisadi, rushwa, wafanyakazi hewa, wenye vyeti feki, uozo uliokuwa bandarini, matumizi mabaya ya ofisi za serikali, kabana matumizi ndani ya serikali mpaka siku ya sherehe za uhuru pesa yake akaagiza itumike kwenye maendeleo na hivyo bungeni pamoja na kukata pesa Kwa wabunge.

Rais amesifiwa ni kiongozi wa pekee katika bara la Afrika katika kupambana na ufisadi.

Na akikosolewa pia muwe mnapokea kwa shangwe
 
kubana matumizi kwa kununua wapinzani nakurudia uchaguzi.mazao hayana bei wakulima wamekata mitaji,mifugo imekosa soko hali imekuwa mbya sna,mabenki yamefilisika hali imekuwa mbya zaidi ya uchumi.elimu ndyo usiseme tunakatazwa kuchangia 20alfu kuboresha angalau hata kidogo tunakatzwa wakati wao wanawalipia 20 milion ada.tunaelekea cyo kbsa
 
Back
Top Bottom