Vita dhidi ya mabepari wa madini inahitaji umoja, ilimshinda Dr Williamson wa Mwadui na Mwl Nyerere

Ndio maana nampenda sana Gwajima . ALIFURUMUSHA WAPUUZI WALIOKUWA NA HUU UJINGA KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA HAIJAWAHI ACHA MTU SALAMA. Sasa unapigana ya nini?Ujamaa ni upumbavu sana.Hawawezi ishi bila kutengeneza adui kizembe zembe tuu,hata wa kufikirika.Ili wapate sabaua ya kuendelea kusihia masiha yasiyo na uchumi.
 
Safi sana mkulu. Tunaelimika...
Vipi Kuna Ile stori kuwa Williamson aliwahi kupata almasi kubwa mwadui akataka kuitoa kama mahari kwa malkia wa uingeleza.
Mkuu hii kweli au story za kwenye vijiwe vya bao huku usukumani...
Inasadikiwa ni mwaka 47
Wala ujakosea.
 

Attachments

  • article-2081281-0F52BCF000000578-34_634x874.jpg
    article-2081281-0F52BCF000000578-34_634x874.jpg
    93 KB · Views: 53
Mimi binafsi ningependa sana usalama wawe above politics. Kazi yao kuu iwe kulinda raslimali zetu. Ifike mahali kiongozi yoyote anayepiga dili kwenye madini ili kujinufaisha yeye binafsi aondolewe tena ikiwezekana asijulikane hata aliko. Hili suala la madini, gesi na mafuta linatutukana sana watu weusi. Tunapokuwa nje ya nchi na suti zetu tunajiona wastaarabu kumbe watu weupe wanatuona tunatembea uchi maana hatuna kitu kichwani.

Mtanzania yoyote aone aibu kupiga dili at the expense of our country. Hakuna mzungu anayekuona mjanja kwa kuliibia taifa lako.
Sure
 
Back
Top Bottom