F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,674
- 4,942
naishauri serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani ya nchi, ipeleke mswada bungeni wenye kutaka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa yeyote atakayepatkana na hatia ya kusafirisha au kukutwa akijihusisha na biashara hii haramu ya dawa za kulevya. wakati mwingine sheria ikiwa kali sana kidogo hali itapungua tofauti na sasa ambapo sheria ni ndogo kuhusu biashara hii haramu.