Vita dhidi ya covid-19: Polepole awaambia viongozi wa Serikali huu si wakai wa kutisha watu au kuchukua hatua za kufedhehesha

Aseme ni Corona ipi tunayopaswa kuomba itokomee.Maana alishasema Vyama vya Upinzani Tanzania ni Corona,sasa hapa atanabaishe,Corona ipi ambayo Rais kataka tuombe tuiondoshe?Awe specific ili tujue tunaomba kwa Corona ipi...Maana sio wote tunaotaka Corona mojawapo kati ya hizo mbili kwa mujibu wa maneno aliyowahi kusema iondoke
Dah!... hii kali !!
 
Hii ndio tweet yake:

Tunaendelea na Maombi Maalum ya Siku 3, Tusimame pa1 na Tutashinda. Rai yangu baadhi ya Viongozi wa Serikali zingatieni kuuelimisha umma zaidi na kutiana moyo kwamba tutashinda. HUU SIO WAKATI WA KUTISHA WATU AU KUCHUKUA HATUA ZENYE KUFEDHEHESHA UTU, VITENDO HIVYO HAVIKUBALIKI!!!
wakai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka Chadema wakuzabue waambie polepole huyo anakuja

Kwamaana amewapoteza kabiss Chadema wamejikatia tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha alivyowaita kua CHADEMA ni Corona..kumbe alikua anajua kua huu ugonjwa wanaupata wapinzani tu asa CHADEMA...
Na Makonda akamalizia kwa kucheka na kumtangaza mtoto wa Mbowe kua tayari ana Corona...Kweli CCM tuna watu wenye akili sana.
 
Chadema walidhani hawawezi kuugua corona
Umenikumbusha alivyowaita kua CHADEMA ni Corona..kumbe alikua anajua kua huu ugonjwa wanaupata wapinzani tu asa CHADEMA...
Na Makonda akamalizia kwa kucheka na kumtangaza mtoto wa Mbowe kua tayari ana Corona...Kweli CCM tuna watu wenye akili sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumwombee Mungu amsamehe kwa maneno yake ya kufananisha chadema na corona. Nasi watanzania tumsamehe katika kipundi hiki cha kutubu kwa ajili ya Taifa na kuliombea Taifa dhidi ya corona. Ametamka manenono mabaya mno! mno! mno! yanasikitisha yanahuzunisha na yanalidhalilisha Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hayo,
Hata kwenye maombi hatuwezi kuwa pamoja. Utakuwa unafiki
Maombi ya kinafiki hayamfikii Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio tweet yake:

Tunaendelea na Maombi Maalum ya Siku 3, Tusimame pa1 na Tutashinda. Rai yangu baadhi ya Viongozi wa Serikali zingatieni kuuelimisha umma zaidi na kutiana moyo kwamba tutashinda. HUU SIO WAKATI WA KUTISHA WATU AU KUCHUKUA HATUA ZENYE KUFEDHEHESHA UTU, VITENDO HIVYO HAVIKUBALIKI!!!
Watu njoni huku kinyonga amerudi leo ana rangi nyingine.
 
Back
Top Bottom