Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,656
- 29,134
unapoenda nchi za watu lazima ufuate sheria za nchi husika. sio unaenda na sheria zako ukifikiri watakuangalia tu.Yaan kwa namna Yoyote ile Angola hawajawatetendea Haki wachezaji wetu na ikibd serikali inabd iliingilie Kat hiki
Ule NI uvunjifu wa Haki za kibinadamu
NB Mimi sio kijn wa Rumumba
hamna uonevu hapa.. kila nchi inajitahid ijikinge na corona kadiri ya uwezo wao. likiwemo kila nchi kupima wageni wote wanaotoka nchi za nje.
sasa kama unaona uwez kukubaliana na suala husika bora usiende.