Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nini chanjo zipatikane kwa nyakati zinazoshabihiana mbona haijaanza kugunduliwa na nchi moja kisha zikafata nyinginezo au kuna rafu tunachezewa mashabiki....?
Vipi waliyokunywa kina Kabudi.Mi nachukua ya USA
Kama tafiti zimepitisha zote hakuna shida kila mtu atumie anayoiamini.
Vipi waliyokunywa kina Kabudi.
Pia wamepunguza propaganda za kuzisababishia nchi maskini vita,sababu wameona wanapata mafuriko ya wakimbizi/wahamihaji haramu wengi toka nchi hizo maskini na zina vita,kukimbilia ulaya!!Upo sahihi maana siku hizi watu wamekataa propaganda za kuzisababishia Nchi maskini vita ili USA iuze silaha. DUNIA INA SIRI KUBWA SANA.
Sasa watathibitisha vipi ya USA wakati wenye wanayo ya kwao?Uingeleza na EU tayari wamethibitisha ya USA
Unapotaja maendeleo ya kila kitu duniani Anza kuwaheshimu uingereza halafu Israel full top.Mi nachukua ya USA
Na Russia piaU
Unapotaja maendeleo ya kila kitu duniani Anza kuwaheshimu uingereza halafu Israel full top.
Urusi wana muda wagundue chanjo ila watazama CNN, BBC, FOX, MSNBC, et al hawakujua mapema. Hawafatilii hata Aljazeera wala RTHivi kwa nini chanjo zipatikane kwa nyakati zinazoshabihiana mbona haijaanza kugunduliwa na nchi moja kisha zikafata nyinginezo au kuna rafu tunachezewa mashabiki....?
Wajngereza wa aina gani maana Scottish naona wako vizuri kihistoria kuliko wenzao kwenye muungano. Wajerumani nawatanguliza mbele ya Ulaya nzimaU
Unapotaja maendeleo ya kila kitu duniani Anza kuwaheshimu uingereza halafu Israel full top.
Nimekupata vyema chief niungane na wewe kwenye kumuogopa Muamerika kwa mbinu nyingi chafu kwa rungu la technology analolitumia kwa sasa baada ya kuona kwenye propaganda anafeli kwa nchi nyinyi hususan za Asia na Ulaya na palipobaki kumbaini ni Africa pekee binafsi naamini mchina mnyonyaji ila si kwa mbinu ya kumwaga damu wengi km afanyavyo MarekaniUrusi ndilo lilikuwa Taifa la kwanza kutangaza kwamba imefanikiwa kutengeneza chanjo yenye mafanikio ya kidhibiti maambukuzi ya virus kwa silimia 95% - baada ya kutangaza mafanikio hayo basi vita baridi ikaanza kwa kuituhumu Urusi kwamba mafanikio yake yametokana na ku-cut corners, eti "chanjo haija pitia kwenye mchakato wa kutosha" kuna kiongozi fulani huko Merikani alikwenda mbali zaidi kwa kudai eti "chanjo ya Urusi hawezi kumudunga hata mbwa wake" - we fikiria jamaa hawa walivyo wa ajabu linapo kuja suala la ushindani wa kibiashara - wanawekeana kauzibe na wakati mwingine kufanyiana hujuma za wazi wazi, chukulia mfano wa Nchi za magharibi wanavyo wabeza Warusi - cha ajabu USA, Uingereza na Ujerumani kuingiza sokoni chanjo ambazo hazija fanyiwa tafiti za kutosha hiyo kwao ni balabala - hawataki Urusi na Uchina waingize sokoni chanjo mbadala ambazo haziitaji kuifadhiwa kwenye nyuzi joto chini ya sufuri!!
Binafsi ningependekeza mataifa ya Afrika kutumia chanjo za kutoka China na Urusi ambazo tuna uhakika hazitakuwa zimeongezewa vitu vingine hatarisha kwa afya na uzazi wa binadamu, hasa chanjo zinazo lengwa kutumika kwa Mataifa ya Afrika na Asia - Wachina na Warusi hawana agenda za siri kuhusu third World Nations.