Anicet mchomvu
Member
- Apr 18, 2012
- 95
- 213
Kumekua na mwendelezo wa vita baridi kati ya Magufuli na JK Tangu alipokua waziri. Ambapo inasemekana aliyokua akifanya Magufuli kama tukio la kukamatwa kwa meli iliyokua ikifanya uvuvi kinyume na utaratibu yaani haramu na hatimaye kukamatwa na kutaifishwa alafu baadae tunakuja kuambiwa kuwa walishinda kesi na hatimaye serikali kulipa fidia, ubomoaji wa majengo hovyo hovyo na kudai kwamba serikali italipa ni picha halisi ya vita hiyo.
YAANI KUMDHOOFISHA YEYE NA SERIKALI YAKE
Sio hapo tu hata sasa ufuatiliaji na usimamiaji wa mambo unaofanywa na Rais Magufuli na kuuonesha uma uozo na uvundo uliokuwepo katika serikali ya JK ni mwendelezo wa vita iyooo.Ni Mengi ninayo ila kwa sasa nimechokoza kwa hilo.
Wakuropoka ropokeni wakutukana tukaneni ila
WACHUNGUZI NA WACHAMBUAJI WA MAMBO TUFUNGUENI MACHO YA AKILI
WENYE BUSARA ENDELEENI KUTUELIMISHA