Nikilinganisha na American next top model, naona bado tuko mbali mno. Any way its a good start, iko siku tutaweza. Hongereni visura kwa hatua mliyofikia, jitahidini sana, hakuna kulegealegea mtashinda.
Huyo dada aliyevaa suruali ana watoto na mume, walimtoa huko milimani Arusha. Walienda kijijini wakauliza kama kuna mtu mwenye sifa za urefu na kiuno na hips (kwa specs zao), basi huyo dada ikabidi morani wa kimasai aombwe ruhusa ili wampime. Vipimo vikakubali akapewa nauli ya kwenda Dar. Jina lake ni Neshno.
njia waliyotumia kuwatafuta visura hawa haikuwa muafaka naamini ndio maana hawakuweza kuwapata walengwa muafaka. haiwezekani mji kama arusha utafute warembo ukiwakwenye gari na kupitia baathi ya saloon za kina mama ukiwana malengo uko utawapata visura. walitakiwa watafute mawakala mikoani na kwahilo wangefanikiwa.
najisikia aibu wakibeba bendera ya taifa kwenda kupambanishwa na visura wengine afrika kusini.
aise nyie waandaaji kama mnafanya biashara naomba mjue ""Biashara haijaribiwi, kama mmeamua kufanya hii business basi fanyeni serious"" sio mnakuja na vijimama halafu mnaviita ""Visura""..au inawezekana hao mabinti wamekamilika ila nyie hamna utaalam wa kuwaweka sawa kwa ku-design pamba zinazoendana na wao na fasheni iliyopo...Nguo zenyewe sijui za mitumba ya wapi!!!!! sijui "India"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.