'Visit Tanzania', Ubunifu mwingine kutoka kwa Barbra Gonzalez

Jamani hii ' visit Tanzania' ni ishu waliyopewa na mwanasimba mwenzao pale wizara ya utalii Damas Ndumalo! Natania.....!
 
Gertrude Mongela amefanya nini?Huyu mbona kama yuko overrated?
Bora ungesema marehemu Mama Gertrude Lwakatare
Duh... umemwona Getrude Lwakatare tu, acha Tanzania hii tuna hazina ya wa mama vichwa. Lwakatare nakubali sasa we m google Mongella ili umwelewe ni nani?
 
Watoto wa mtaani mna shida sana uwo wivu uko wapi apo
Acha Ujinga...Tujadili mambo yenye mantiki kuhusiana na soka...Visit Tanzania, wewe unaleta mambo ya umbea eti fulani ana uhusiano na fulani, mchepuko mara sijui ujinga gani? Mambo ya umbea ni mambo ya wivu kwahivyo peleka kwenye majukwaa yake huko.

Jiulize toka mjadala umeanza kuna yeyote aliyeleta upuuzi kama wako hapa?...Tahadhari sana
 
Wana Simba na waTz kiujumla ni kama tumepitishwa kwenye mlolongo wa matukio kadhaa kutoka klabu yetu andamizi kwa muda mfupi...
Africa nani anaweza kuja kutalii? Labda tuwekewe data za Wazungu wanao fuatilia ligi ya Mambingwa
 
Mkuu subiri mkitoka na as Vita, mnakutana na Yanga then Al Ahly.. ombeni mshindi hizo game
Zoote watacheza ila hiyo ya Yanga lazima waiogope na kuikimbia kama ugonjwa usotulizika hata maumivu. Watabweka kuomba iahirishwe hadi bungeni, wakati ulaya ni kawaida tu mtu anagonga derby ya nguvu jumamosi na jumanne anaenda kucheza Na mwamba mwingine kwenye UEFA CL
 
Back
Top Bottom