Vision Loan Fund Tanzania: Nitafurahi nikipata ushuhuda wa baadhi ya watu ambao waliwahi kupata huduma zao

Mkombalwiku Orijino

Senior Member
May 24, 2020
101
30
Hii Kampuni inajihusisha na mikopo ya biashara, inafanya pia kazi online Tanzania kupitia huduma yao inaitwa Net Service. Yaani wanakupa mkopo sehemu yoyote Tanzania kupitia simu ya mkononi.

Naomba kujua kama kuna yeyote anawafahamu hawa watu Kwa undani na zilipo ofisi zao asante. Nitafurahi nikipata ushuhuda wa baadhi ya watu ambao waliwahi kupata huduma zao asante. Mimi nimewafahamu kupitia facebook kwenye ukurasa wao wa VISION LOAN FUND TANZANIA.

FB_IMG_1617351843874.jpg
 
Kuna vision fund nyingine nayo ni bank inakopeshaga kwa vikundi vipi nayo ni moja wapo ya hii au ni tofauti
 
Vision fund inatambulika ni Microfinance kama sijakosea na wanashirikiana na World vision, ila hawa Vision loan fund Tanzania ni tofauti taarifa zao nje ya facebook hazipatikani tena kwa urahisi
 
Back
Top Bottom