Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

small mind

Senior Member
Jun 1, 2012
129
58

Habari nilizopata hivi punde ni kwamba

Tukio hili linatokea sasa hivi sa tatu na nusu usiku.

Moto mkubwa unawaka katika visima vya Mafuta vya Lake Oil Kigamboni.

Kwa walioko karibu tafadhali tupeane updates kuhusu usalama na yanayoendelea kwa sasa

Wakazi wa Kigamboni,Kisiwani,Vijibweni na maeneo Jirani chukueni Hadhari
 

Attachments

  • VID-20200108-WA0065.mp4
    2 MB
Habari nilizopta hivi punde ni kwamba

Tukio hili linatokea sasa hivi sa tatu na nusu usiku.
Moto mkubwa unawaka katika visima vya Mafuta vya LAKE OIL Kigamboni.Kwa walioko karibu tafadhali tupeane updates kuhusu usalama na yanayoendelea kwa sasa


Wakazi wa Kigamboni,Kisiwani,Vijibweni na maeneo Jirani chukueni Hadhari

Jioni Njema
Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
 
Back
Top Bottom