small mind
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 129
- 58
Habari nilizopata hivi punde ni kwamba
Tukio hili linatokea sasa hivi sa tatu na nusu usiku.
Moto mkubwa unawaka katika visima vya Mafuta vya Lake Oil Kigamboni.
Kwa walioko karibu tafadhali tupeane updates kuhusu usalama na yanayoendelea kwa sasa
Wakazi wa Kigamboni,Kisiwani,Vijibweni na maeneo Jirani chukueni Hadhari