Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Poleni sana wakazi wa nchi jirani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
ila mkuu unamatamko ya kibabe 😂🤣😂 plzzz usiniumbue na mimi sijaweka kishazi kisaidizi 😂😂😂
 
Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.


Acha kujifanya mjuaji wakati kichwani ni upepo.

Ati Tanzania hakuna Visima vya mafuta. Sijui umetumia Criteria ipi kuwasilisha upuuzi huu. Unajua maana ya kisima? Unajua maana ya "Tank"

Yaani kama kuna visima vya Maji iweje kusiwepo na Visima vya Mafuta?

Najua mawazo yako Mgando utasema visima vya Mafuta ni vile vilivyopo Uarabuni. Ili ujue kichwa chako sio kizima.

Kisima cha mafuta hata wewe unaweza kuwa macho hapo nyumbani. Unachimba kisima cha kawaida kisha unayahifadhi mafuta humo ndani.


Sheli( Nafahamu ni kampuni ya mafuta) lakini kwa Watanzania walisema Sheli wanalenga vituo vya mafuta. Hivyo nitatumia neno hilo hilo kurejelea maana ya kituo cha mafuta. Sheli nyingi Tanzania zinavisima vya Mafita sasa wewe sijui unapataje uhodari kusema kigambamo hakuna kisima cha mafuta tena ujinga wako ukakupeleka mbali zaidi kuitaja Tanzania ati haina visima vya mafuta.

Labda uje na maana mpya ya Istilahi "Kisima" na hiyo ya "Tank"


Haya Wasomaji watajua nani aliyesomea ujinga. Kati ya mtoa post na wewe Mvamia post.
 
*Breaking* *newz* : akiba ya mafuta iliyopo kwenye ma tanks ya Lake oil huko Kigamboni yanaungua moto sasa hivi.....


Jr
 
Back
Top Bottom