Visiconsela Mengane amuua mamaye wa kambo akimtuhumu kumroga

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Visiconsela Mengane (30),Mkazi wa Busanda, Geita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua Mama yake wa Kambo Witness Kanoga(50) chanzo kikidaiwa ni imani za kishirikina “mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu Marehemu kuwa anamroga na amemsababisha kupata kifafa.

mauaji.jpg
 
Kanda ya ziwa inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kiroho na kielimu ,hawa waganga uchwara wanatakiwa washibitiwe kikamilifu
 
Mbona hapo ni kama yupo kwenye mkutano wa injili, ni injili gani inafundisha kuua?
 
Jina zuri roho ya kishetani.
Akakae anapostahili
 
Huyo aliyemuua kwa kumkata panga mke wake huko Arumeru nako ni kanda ya Ziwa ?

Back
Top Bottom