kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,065
- 1,535
....JUU NIMEWEKA HOTUBA ALIYOSOMA ....MANENO ALIYOTAMKA JUU YA ARUSHA ...ALITAMKA KWENYE MSISITIZO ...JUU YA KILICHOTOKEA ARUSHA ...IWAPO TUTAPATA VIDEO CLIP YA HOTUBA YA RAIS PALE DODOMA TAREHE 5/2/2011 HAYA YATAJIELEZA WAZI....MWENDELEZO WA CHUKI HIZI PIA UMEJIDHIHIRISHA KWENYE TAMKO LA UMOJA WA VIJANA BAGAMOYO AMBAPO MTOTO WA RAIS ALIKUWAPO....
UKWELI NI KUWA KWENYE MKUTANO WA SEKRETARIET YA AFRIKA MASHARIKI ILIYOKETI ARUSHA KUANDAA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI JANA....KULIKUWA NA UBISHI MKALI KUTOKA KWA NCHI WANACHAMA AMBAZO ZILIKWERWA NA UAMUZI WA TANZANIA KUPELEKA MKUTANO DAR BILA KUWASIKILIZA .....WAO WANAONA KUTOKANA NA MISONGAMANO YA DAR NA UZOEFU WA MIKUTANO ILIYOPITA .....INAWAWIA VIGUMU WASHIRIKI KUFIKA SEHEMU KWA WAKATI....HASA WALE AMBAO HAWAPO KWENYE MISAFARA YA VIONGOZI WAO MOJA KWA MOJA....NA KWA UJUMLA PAMOJA NA UKUBWA WA DAR .....MIKUTANO MINGI IMEKUWA USUMBUFU KWAO NA KWA WANANCHI ....HASA PIA KUTOKANA NA MIUNDOMBINU KUTOKUWA RAFIKI...
KAMA DAR INATAKA KUVUTIA MIKUTANO BILA KUWEKA USUMBUFU KWA WASHIRIKI NI BORA WAFIKIRIE KUWA NA VILLAGE AMBAYO ITAJUMUISHA PIA SEHEMU ZA MALAZI ...KAMA ILIVYO KAMPALA,[COMMONWEALTH VILLAGE],NA NAIROBI[GILGIL]..etc.......lakini kama tutaendelea kulazimisha mambo tutapoteza nafasi ya ARUSHA AMBAPO NI ...MAKAO MAKUU YA AFRIKA MASHARIKI,CHUO CHA UONGOZI AFRIKA ,CHUO KIKUU CHA TEKNELOJIA AFRIKA ,MANDELA,SHIRIKISHO LA POSTA AFRIKA,MAKAKAMA YA RWANDA[na hata tuki lobby vema mahakama ya HAGUE wanataka kuweka tawi pale],mahakama kuu ya afrika,mahakama ya afrika mashariki...etc....are we ready to lose everything just kwa ajili ya visasi?????????......narudia tena kama ingekuwa visasi basi Kibaki angeutenga mji wa nairobi....na kulikuWA na hati hati ya makao makuu ya umoja wa mataifa na habitat ihame nairobi....ingeweza kuletwa Arusha au kuhama kabisa ukanda huu....
Suala la kikwete kuwa al maarufu wa visasi linajulikana. ni wajibu wa vyombo husika na wahusika ambao wengine tuko huku kukataa kata kata mambo yenye interest binafsi kama hizo. ndio maana anaua chama na kuwatafuta kina nape wafe nacho.....hakuna maendeleo kwa afrika ambayo taasisi zake haziko wima!!! anataka aiache tannzania ambayo haina kitu?? hii ikataliwe...usalama wa taifa kwani kazi yenu ni nini?? mbona hata nyerere walikuwa wanamkatalia ambayo hayajengi?