Visasi vinadumaza hoja ya Viwanda - hatutaendelea kamwe. Badilisha Wasaidizi wako

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
454
1,264
Mkuu hii Nchi yetu yote. Katika maisha usitake kupendwa na watu wote. Hata Bwana Yesu na Mtume Muhammad kuna watu waliwapinga na hadi Leo kuna baadhi ya watu hawaamini nguvu zao. Katika maisha ya siasa hasa za vyama vingi lazima ukubali kupingwa. Haiwezekani kila MTU awe CCM. Hilo halitawezekana hadi kiama kinafika.

Sisi wafrika nahisi kuna MTU katuloga aisee. Na aliyetuloga amekufa.
Haiwezekani umekuwa mkubwa wa Nchi badala ya kupambana uletee maendeleo kwa hizo few resources ulizonazo wewe unapambana na watani wako kisiasa. Hapana lazma mstari uchorwe wa mwisho.

Tunaona watani wako wa kisiasa mara hotel zao zimevunjwa, ukumbi za starehe wengine kijani wenzako lakini wanasulubiwe kwakuwa hawakuwa kambi yako. Eti ameajiri wageni, mara fukuza kwenye pango.

Wengine tunajua uchaguzi umeisha kumbe wengine bado mpo kwenye Kampeni.

Bado mimi ninaimani na wewe sana, hata wasaidizi wako wawili wakuu VP na PM. Nina amini haya yanatokea bila baraka zako, naamini hivyo huwezi wewe kuwatuma wasaidizi wako chini wafanye harassment kwa wafanyabiashara ambao hawakuungi mkono.

Mkuu watoe wote wasaidizi ambao wana suppress upinzani. Wanakuharibia wewe unachukiwa sana mtaani. Mvuto wako umepungua sana. Hawa wakina Mbowe ni watanzania kama wewe waache wafanya biashara zao km wengine. Msuguane kwenye siasa tu tena kwa hoja siyo kwenye social & economic ya MTU.

Tafuta legacy ya kimaendeleo ..Leo hata ukiondoka tuseme mzee wetu alifanya hili na lile. Isifikie hatua watu waombee muda wako uishe.

Kuwadhoofisha kiuchumi watani wako haiondoi dhana ya mabadiliko iliyoingia kwa Watanzania. Watanzania waliowengi wanaamini ukiitoa Ccm Nchi itapata maendeleo, kazi yako km mkuu prove them wrong, na wajue kuwa maendeleo yataletwa na CCM.

KUNA WATU WANASEMA UNAUTHUBUTU SANA BUT UNATHUBUTU KWENYE WRONG DECISIONS.
Badilisha wasaidizi wako, wengi wapo kinafki sana..ngoja ustaafu utawasikia wakikunanga km wanavyomnanga bwana yule wa msoga wakati nao walikuwa serikalini.

Au tumeingia kwa haraka kwenye mfumo wa vyama vingi.

Kwa visasi hatutofika.

Nakumbuka kauli ya bwana yule wa msoga 'Nataka nikistaafu nikumbukwe kama bwana Maendeleo'
 
Hakuna visasi Tanzania,tunasimamia sheria ambayo tuliizoea kuifanya tunavyotaka,kuikanyaga na kukwepa kulipa kodi halali,,,

Hata mwanao unaejua ni jambazi siku akiuawa lazma roho itakuuma.... Bado miaka mitatu na ushee tunainyoosha palipojikunja kote kote ili 2021 tuanze kujenga viwanda
 
Nadhani unamsifia kinafiki, hakuna asiejua nchi hii nani mwenye tatizo, tatizo sio washauri wake tatizo ni yeye mwenyewe,
Kauli zake kwenye mikutano zinatosha kujua tatizo ni yeye, sasa mkimshauri kinafiki atazidi kupotea mwambieni ukweli yeye Ndio anatakiwa kubadilika sio wengine,
 
Unamvunjia biashara zake eti kisa madeni wakati wakandarasi wengi wanaidai serikali mpaka wengine wamekufa hawajalipwa.tazama serikali inavyodahiwa na watoa mikopo IMF ,world bank nk .lakini hapo eti ili ccm ionekane inafanya kazi ni kuwa weka wapinzani ndani,kuwanyima dhamana,kuwambambikiza kesi,kuwafunga,kuwapiga,kuwasingizia uongo ,kuwanyima nafasi ya mikutano kutafuta wanachama kisa tu una polisi na mahakama na jeshi
 
Mkuu hii Nchi yetu yote. Katika maisha usitake kupendwa na watu wote. Hata Bwana Yesu na Mtume Muhammad kuna watu waliwapinga na hadi Leo kuna baadhi ya watu hawaamini nguvu zao. Katika maisha ya siasa hasa za vyama vingi lazima ukubali kupingwa. Haiwezekani kila MTU awe CCM. Hilo halitawezekana hadi kiama kinafika.

Sisi wafrika nahisi kuna MTU katuloga aisee. Na aliyetuloga amekufa.
Haiwezekani umekuwa mkubwa wa Nchi badala ya kupambana uletee maendeleo kwa hizo few resources ulizonazo wewe unapambana na watani wako kisiasa. Hapana lazma mstari uchorwe wa mwisho.

Tunaona watani wako wa kisiasa mara hotel zao zimevunjwa, ukumbi za starehe wengine kijani wenzako lakini wanasulubiwe kwakuwa hawakuwa kambi yako. Eti ameajiri wageni, mara fukuza kwenye pango.

Wengine tunajua uchaguzi umeisha kumbe wengine bado mpo kwenye Kampeni.

Bado mimi ninaimani na wewe sana, hata wasaidizi wako wawili wakuu VP na PM. Nina amini haya yanatokea bila baraka zako, naamini hivyo huwezi wewe kuwatuma wasaidizi wako chini wafanye harassment kwa wafanyabiashara ambao hawakuungi mkono.

Mkuu watoe wote wasaidizi ambao wana suppress upinzani. Wanakuharibia wewe unachukiwa sana mtaani. Mvuto wako umepungua sana. Hawa wakina Mbowe ni watanzania kama wewe waache wafanya biashara zao km wengine. Msuguane kwenye siasa tu tena kwa hoja siyo kwenye social & economic ya MTU.

Tafuta legacy ya kimaendeleo ..Leo hata ukiondoka tuseme mzee wetu alifanya hili na lile. Isifikie hatua watu waombee muda wako uishe.

Kuwadhoofisha kiuchumi watani wako haiondoi dhana ya mabadiliko iliyoingia kwa Watanzania. Watanzania waliowengi wanaamini ukiitoa Ccm Nchi itapata maendeleo, kazi yako km mkuu prove them wrong, na wajue kuwa maendeleo yataletwa na CCM.

KUNA WATU WANASEMA UNAUTHUBUTU SANA BUT UNATHUBUTU KWENYE WRONG DECISIONS.
Badilisha wasaidizi wako, wengi wapo kinafki sana..ngoja ustaafu utawasikia wakikunanga km wanavyomnanga bwana yule wa msoga wakati nao walikuwa serikalini.

Au tumeingia kwa haraka kwenye mfumo wa vyama vingi.

Kwa visasi hatutofika.

Nakumbuka kauli ya bwana yule wa msoga 'Nataka nikistaafu nikumbukwe kama bwana Maendeleo'
 
Mkuu hii Nchi yetu yote. Katika maisha usitake kupendwa na watu wote. Hata Bwana Yesu na Mtume Muhammad kuna watu waliwapinga na hadi Leo kuna baadhi ya watu hawaamini nguvu zao. Katika maisha ya siasa hasa za vyama vingi lazima ukubali kupingwa. Haiwezekani kila MTU awe CCM. Hilo halitawezekana hadi kiama kinafika.

Sisi wafrika nahisi kuna MTU katuloga aisee. Na aliyetuloga amekufa.
Haiwezekani umekuwa mkubwa wa Nchi badala ya kupambana uletee maendeleo kwa hizo few resources ulizonazo wewe unapambana na watani wako kisiasa. Hapana lazma mstari uchorwe wa mwisho.

Tunaona watani wako wa kisiasa mara hotel zao zimevunjwa, ukumbi za starehe wengine kijani wenzako lakini wanasulubiwe kwakuwa hawakuwa kambi yako. Eti ameajiri wageni, mara fukuza kwenye pango.

Wengine tunajua uchaguzi umeisha kumbe wengine bado mpo kwenye Kampeni.

Bado mimi ninaimani na wewe sana, hata wasaidizi wako wawili wakuu VP na PM. Nina amini haya yanatokea bila baraka zako, naamini hivyo huwezi wewe kuwatuma wasaidizi wako chini wafanye harassment kwa wafanyabiashara ambao hawakuungi mkono.

Mkuu watoe wote wasaidizi ambao wana suppress upinzani. Wanakuharibia wewe unachukiwa sana mtaani. Mvuto wako umepungua sana. Hawa wakina Mbowe ni watanzania kama wewe waache wafanya biashara zao km wengine. Msuguane kwenye siasa tu tena kwa hoja siyo kwenye social & economic ya MTU.

Tafuta legacy ya kimaendeleo ..Leo hata ukiondoka tuseme mzee wetu alifanya hili na lile. Isifikie hatua watu waombee muda wako uishe.

Kuwadhoofisha kiuchumi watani wako haiondoi dhana ya mabadiliko iliyoingia kwa Watanzania. Watanzania waliowengi wanaamini ukiitoa Ccm Nchi itapata maendeleo, kazi yako km mkuu prove them wrong, na wajue kuwa maendeleo yataletwa na CCM.

KUNA WATU WANASEMA UNAUTHUBUTU SANA BUT UNATHUBUTU KWENYE WRONG DECISIONS.
Badilisha wasaidizi wako, wengi wapo kinafki sana..ngoja ustaafu utawasikia wakikunanga km wanavyomnanga bwana yule wa msoga wakati nao walikuwa serikalini.

Au tumeingia kwa haraka kwenye mfumo wa vyama vingi.

Kwa visasi hatutofika.

Nakumbuka kauli ya bwana yule wa msoga 'Nataka nikistaafu nikumbukwe kama bwana Maendeleo'
Umetoa ushauri mzuri lakini naona pia unamhemko wa mapenzi ya chama fulani usimamizi wa sheria unapaswa kuwalenga watanzania wote bila kubagua huyu ninani. Mazoea ndiyo yameifikisha tanzania hapa tulipo lazima tubadilike
 
Back
Top Bottom